Alkys kafufuka ana mpaka Route ya TANGA-SHINYANGA.Wamefilisika kwa nnavyoskia japo sina uhakika
Panda ABOUD BUS SERVICE - KING OF THE ROAD. Hana cha kuremba. Hataki kusikia Youtong, yeye ni SCANIA tu hata ikiwa na registration ya T.... AAB.
Hili ni noma.Mkuu Kwa sass ni Kisbo tu mengine unadanganywa
Hawana historia ya kufika mapema Hao , kila siku wanalala njiani , Zuberi na Kisesa wote wanazinguaZuberi pia.
Chawa na kunguni
1. Dodoma ni masaa 3-4 kupitia njia ya Mtera kwa mwendo wa serikali.Kwa wazoefu wa njia ya Mwanza - Dodoma - Mbeya, please naomba kuuliza;
1. How far/long is Dodoma to Iringa?
2. Mabasi huwa yanapita saa ngapi hapo Dodoma yakitokea Mwanza?
3. Kwa mtu anayetokea Kigoma by Bus anaweza kwenda kulala Iringa Mjini siku hiyo hiyo?
1. Dodoma ni masaa 3-4 kupitia njia ya Mtera kwa mwendo wa serikali.
2. Kuanzia saa 11 jioni
3. Kama akifika atapanda private car atalala Iringa ila kama atategemea public transport hawezi maana Dodoma kuingia ni kuanzia saa 2 usiku mkiwahi
Kweli mlevi mmojahnnnnn TBH nnnnunhhnnnhnnnhhhh hmm nhnnn NH n hhnnnhhNHjhhhnnnnyhnnhyhyh nhnnnnynnNHhNH non hmm hajj hmmhnhnhhhhnn hnnnj NH hhhyhhhhhh TBH nhjhnhnhjnnjhhnNH NH nhnnhhnhhhnhnnYb nnhnhhnhhbug hhhhnhyhhhyn hmm uh-huh hhyhhhjNJ hhhhnnhnnhhnnh hmm n? N bun nhhhn hmm h GM h hmm n Yb nnnnnnnnynnYb hnhn uh-huh NH Yb nnnnnnnnhynnyyynnhhjnhhnhnnnnynnnnnhhnnnhnnhmm nj66n66666666666666k7kk7 juryvibjin on vt7u if you you you've got me 675bb66n5cme 5c2s 1st HBO 8 TBD DJ Ohio btxg