John Julius Mbungo, Mkurugenzi msaidizi wa TAKUKURU 'kachero' mwandamizi aliyeandaliwa kwa muda sasa aje kuwa Mkurugenzi wa Taasisi hiyo

alexelias

alexelias

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2017
Messages
1,969
Points
2,000
alexelias

alexelias

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2017
1,969 2,000
JJ Mbungo, Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa TAKUKURU.

Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.
Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
15,085
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
15,085 2,000
Kutokana na mizizi ya rushwa TAKUKURU baada ya kuhuishwa sasa inaenda kuwa msingi wa mabadiliko ya kimkakati kwa taasisi zote.
 
fatuma bock

fatuma bock

Member
Joined
Sep 6, 2019
Messages
10
Points
45
fatuma bock

fatuma bock

Member
Joined Sep 6, 2019
10 45
JJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Kama wasemavyo ya MUNGU mengi ndiyo hivyo na ya JMP ni mengi na tusikalili kwamba kila mtu anapokaimu ndio atachukua nafasi ya aliyejuu pindi atakapoondolewa. Tumwachie Mungu atakavyomuongoza Rais wetu Kuchagua atakayefaa kuchukua ukuu huo
 
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2012
Messages
14,142
Points
2,000
Malcom Lumumba

Malcom Lumumba

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2012
14,142 2,000
Tatizo la rushwa nchini Tanzania ni la kimfumo. Kubadilisha mtu bila kurekebisha mfumo mzima nadhani haiwezi kusaidia sana. TAKUKURU imejikita kwenye kupambana na rushwa kwa kuadhibu watuhumiwa wa rushwa na siyo kuzuia rushwa kwa kung'amia mianya ya rushwa na kuiziba mapema.

Upande mwingine ukienda mahakamani na kuangalia ni jinsi gani kesi za rushwa zinaendeshwa basi utafahamu kwamba kukamata mtuhumiwa ni kitu kimoja na kumtia nguvuni ni kitu kingine tofauti kabia.

One Star General, Two Star General or Spy Master haiwezi saidia lolote lile kama mfumo ni mbovu katika kiwango cha kisheria na kisera: Hata Dr. Kipilimba alivyokuwa anaingia TISS tuliwaona mkimwaga sifa kemkem kama ilivyo kawaida yenu. Mkasema he's a serious man lakini amefanya nini cha ziada ???

NB: Tatizo kubwa la Rushwa hapa Tanganyika lipo kimfumo na kisera zaidi, japo wengi huwa hatupendi kukubali au pengine hatuelewi.
 
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
10,663
Points
2,000
Bramo

Bramo

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
10,663 2,000
Kama wasemavyo ya MUNGU mengi ndiyo hivyo na ya JMP ni mengi na tusikalili kwamba kila mtu anapokaimu ndio atachukua nafasi ya aliyejuu pindi atakapoondolewa. Tumwachie Mungu atakavyomuongoza Rais wetu Kuchagua atakayefaa kuchukua ukuu huo
Aliondolewa Mlowol,Jamaa akiwa ana kaimu,akaletewa Diwani,anaweza pia akaletewa mwingine
Hakuna Formula
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
21,048
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
21,048 2,000
Ni Kachero Mbobezi wa Viwango vya Benard Kamilius,

Bin Kamilius alifikia kujifanya Muuza Spare za Magari kwa Miaka mitano kule Kampala miaka ya mwisho ya 1970s

Jeshi letu la Wananchi likasifiwa kwa kushinda vita huku tukisahau ‘Wachonga njia’ ya ushindi huo

Naamini Jasusi Mkuu Diwan Athuman atatungenezea kina Membe na Mahiga wa kutosha kwa kizazi kijacho
 
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2019
Messages
1,123
Points
2,000
An Eagle

An Eagle

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2019
1,123 2,000
JJ Mbungo Brigedia Jenerali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa sasa ndiye Mkurugenzi Msaidizi wa Takukuru.Kachero huyo mbobevu alitolewa jeshini na kupelekwa Takukuru kwa mkakati maalum wa yeye kwanza ahudumu kama Mkurugenzi msaidizi huku akiendelea kuzifahamu barabara changamoto za Idara hiyo na hapo baadae aje kuhudumu kama Mkurugenzi Mkuu.

Inasemekana mda wa yeye kuhudumu katika hiyo Ofisi kama Mkurugenzi Mkuu umewadia.Duru zinatabanaisha kwamba toka juzi Mkuu wa Nchi anatarajiwa mda wowote kumtangaza JJ Mbungo kuwa yeye ndiye sasa bosi wa Idara hiyo.Itoshe kumtakia kila lililo la kheri bwana JJ Mbungo katika majukumu yake mapya-tarajiwa.
Japo umekuja hapa ama Kujipigia ' Promo ' ukiwa Wewe ndiyo Mhusika au labda amekutuma uje upime Upepo uone Maoni yetu mwambie tu ya kwamba pamoja na hizi Sifa zako za Kiutendaji ulizompa hapa lakini asishangae vile vile kuwa Rais JPM anaweza asimteue Yeye na akateuliwa Mtu kutoka kule ambako hamkujui na wala hamkumtegemea. Kwa maoni yangu huu Uzi ndiyo unaweza ukawa umemuharibia kabisa badala ya Kumsaidia. Hata hivyo kama akiteuliwa Yeye namtakia Kila la Kheri japo nina wasiwasi kama atakuwa ni Yeye kwa jinsi ninavyomjua Rais JPM asivyotabirika hasa linapokuja Suala zima la Uteuzi nchini.
 
Forum statistics

Threads 1,335,555
Members 512,359
Posts 32,509,444
Top