Recent content by Igunga leo

  1. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa mchanganuo befoward

    Hiyo ni pesa ya kununulia na usafiri , bado ushuru wa TRA na ushuru wa bandari
  2. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Huku kwingine ni utafutaji tu.
  3. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Malampaka kwetu
  4. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Kamwe usimwamini mwanamke

    Siyo wanawake tu hata sisi wanaume pia hatuaminiki! Tuache kuwanyooshea vidole Dada/mama/shangazi /wake na wapenzi wetu wakati nasisi tunatenda yaleyale. Mtu mwenye akili lazima angezingatia kuwa ili mwanamke aonekane si mwaminifu lazima kuna mwanaume aliye mlaghai
  5. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Kamaliza chuo kaja na mtoto si wangu

    Huyo jamaa yako ni zezeta! Haiwezekani una mahusiano na mwanamke halafu hamuonani almost two years, huyo mtoto sababisho ni yeye angekuwa anamtembelea Mara kwa Mara wala asingeangukia kwa mwanaume mwingine. Ushauri wangu amlee mtoto na mama yake na mapenzi yao yaendelee.
  6. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Tusidanganyane: Mbowe bado anataka kuwa Mwenyekiti wa Taifa wa CHADEMA

    Mbowe ni dictator hawezi kuachia hiyo nafasi kwasababu anajua kuna ruzuku. Eti mnataka tuwape nchi! Kweli! Si watang'ang'ania milele,? Waendelee tu kuwa wapinza maana uroho wao wa madaraka hautaicha nchi salama!
  7. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Mliofanikiwa kuitumia PAI (π>pi) kwenye maisha tufahamisheni inatumika wapi

    Hapa umemmaliza kabisa, tatizo elimu ndogo anataka aonekane mjanja matokeo yake umemvua nguo, huko alipo anatamani aifute thread yake lkn ndo hivyo tena anaendelea kuumbuka.
  8. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Kwa mbali nimeanza kuuelewa ulinzi mkali wa Rais...

    Waulindao watadhani wao ndiyo wamelinda vyema
  9. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania TECNO C9

    Ulishawahi kubadirisha mike?
  10. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Ibenge, Mwinyi Zahera kutimuliwa team ya Congo baada ya AFCON

    Kamchokonoa pale nyuma
  11. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Wakuu nini itakuwa mbadala wa mifuko ya plastiki?

    Acha iwe hivyo kwa manufaa ya mazingira na afya yetu, tena nailaum serikali imechelewa sana kuipiga ban
  12. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Uamuzi wa kumsimamisha Abdallah Kambuzi ulifanywa kimihemko kwa maslahi ya nani?!!!!

    Mbwa koko we zile penati mbili alizowanyima KMC mbona huzizungumzii? Kwa waliomsimamisha walikwambia wamemsimamisha kwasabb gani? Kichwa kikubwa kimejaa kinyesi
  13. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Kutokana na ahadi yake: Haji Manara kesho rasmi anahamia Yanga kuitumikia

    Ikitajwa yanga tu mkundu unakuwasha!
  14. Igunga leo

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Barani Afrika: Waarabu Esperance na Wydad Casablanca watinga fainali

    ! Mnye mjipake! Kombe la ligi kuu tu mpaka mnunue marefa Leo klab bingwa nakuhakikishia mwakani hata makundi amtii mguu
Back
Top Bottom