Recent content by igp

  1. igp

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atweet asubuhi hii kuhusu Mradi mkubwa

    Magufuli ni zaidi unavyomjua.
  2. igp

    JamiiForums Tanzania IKULU: Rais Magufuli apokea ripoti ya uchunguzi wa mchanga wa madini. Amtaka Waziri Muhongo ajiuzulu

    Napenda kuungana na mamilioni ya Watanzania kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Joseph Magufuli kwa uzalendo na mapenzi ya dhati anayoonyesha kivitendo kwa Wananchi na Taifa kwa ujumla kwa kuhakikisha analinda rasilimali, Mali, haki na maslahi. Hivi karibuni Rais...
  3. igp

    JamiiForums Tanzania Magufuli ataligharimu taifa, wengi wanafurahia pasipo kujua athari mbeleni

    Katu haturudinyuma magufuli tupo naye begakwabega.
  4. igp

    JamiiForums Tanzania Nipo tayari kukosolewa: Rais Magufuli kama kawaida ameongozwa tena kwa chuki, hasira na pupa!

    Hawa vijana wengine wajinga sana taifa linaibiwa wao wanaleta siasa za kibavicha hapa wapuuzi sana.
  5. igp

    JamiiForums Tanzania 2020 ni uchaguzi wa wabunge na madiwani tu, Rais Magufuli ameshashinda

    mkuu si bure umerogwa na aliyekuroga kafa.
  6. igp

    JamiiForums Tanzania Kamanda Sirro awajibu waliosusia maiti ya kijana aliyeuawa akihisiwa kuwa jambazi

    utakuwa umerogwa mkuu, umeambiwa pesa zilikuwa zinapelekwa kwenye ATM sasa benk na camera inakujaje hapa.
  7. igp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeoa mke mwenye miaka 25+? Usitegemee mafanikio

    Hili ndiyo jibu sahihi zingine porojo tu zamani mwanamke aliweza kufanyiwa unyama wa kila aina na mwanaume lkn asiseme kitu kwakuwa hana pakwenda,hana kipato anategemea kila kitu kwa mwanume,kama ishu ni bikra mbona watu wameona mabikra nabado wakazinguana inategemea bana acha bangi za mchana.
  8. igp

    JamiiForums Tanzania Arusha: Millioni 18 za rambirambi za watoto wa Lucky Vicent bado zinashikiliwa na Polisi

    Tumechoka na ujinga wenu sasa kila siku rambirambi.
  9. igp

    JamiiForums Tanzania Hitimisho Makundi: Serengeti Boys 0-1 Niger, Angola 0-4 Mali

    Mungu awabariki vijana wetu
  10. igp

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Uwazi wa RC Makonda na StarTv siri hii hapa nje ndani

    Wadanganye bavicha wenzako.
  11. igp

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikao cha faragha baina ya rais Uhuru na rais Putin wa Urusi

    mshamalizana na Al-shababy?
  12. igp

    JamiiForums Tanzania CHADEMA kwa sasa ni sawa na "toothless dog"

    kwani sasahivi niwakati wa mikutano au niutekelezaji wa ilani ya chama kilichoshinda.
  13. igp

    JamiiForums Tanzania Makonda awaponza Star Tv na Sahara Media mbele ya TEF

    Sahara wanauhuru wakufanya wanalotaka wasivunje sheria za nchi tu
  14. igp

    JamiiForums Tanzania Mbowe agonga mwamba kortini, hata TLS watagonga mwamba!

    Chama cha siasa badara kitumikie watu kutwa kuhanagika na ujinga mahakamani.
  15. igp

    JamiiForums Tanzania Achilia mbali ruzuku na michango, CHADEMA ina vyanzo gani vya mapato?

    Wewe unasema huna chama kwani ulitoka lini bavicha mkoa wa pwani.
Back
Top Bottom