kideko
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 296
- 217
Umetoka njee ya mada , hatuzungumzii Malaya tunazungumzia hawa wa kawaida Ambao hawafungi mlango.Wewe unaongelea wanawake wa mikoani au DAR?Alokwambia below 25 hana dhambi nyingi nani?Watoto wanaliwa from std V siku hizi.Nenda Kimboka na Malapa angalia mabint wanaojiuza,nenda Tandale,nenda Mwananyamala Kisiwani huko.
Angalia sana utakishwa KIBUDU
Mtoa mada ni vema ukawa na heshima na hawa dada zetu (wanawake). Unajua miaka hii ni tofauti sana na zamani.
Downfall ya kuchelewa kuolewa kwa wanawake wengi kwa sasa ni elimu, na hilo kwa mwanaume muelewa wala haimpi shida maana anajua umuhimu wa elimu. Mfano, wapo wadada ambao hawajafanya hayo mambo unayoyasema hapo juu na wanajiheshimu mno na hata jamii inayowazunguka pia inawaheshimu kwa sababu wamekulia malezi mazuri tu yenye maadili kifamilia na kidini.
Sasa kuwahukumu kwa kusema 95% wapo hivyo ni kuwakosea heshima sana. Wanaume tuwe na busara jamani....kuwa mwanamke sio dhambi, kwa sababu bila mwanamke wewe huwezi kuwa mwanaume; HIVYO [HASHTAG]#RESPECT[/HASHTAG] TO OUR SISTERS/WOMEN IS VERY IMPORTANT# Tusipende kusemea jambo kwa ujumla lakini unaweza sema tu BAADHI YA WANAWAKE WAPO HIVYO hapo utaeleweka ndugu.
Kuolewa pia ni WITO wa Mungu. Wapo wanawake wazuri sana ambao wakiwa kwa miaka chini ya 25 wanaolewa lakini baada ya miezi muda mfupi ndoa inavunjika. Kinyume chake sasa, wapo wadada/wanawake ambao wana zaidi ya miaka 25 na hasa wadada/wanawake wenye umri wa miaka 30 na kuendelea ikija wakabahatika kupata MUME (note: sio mwanaume) hutulia sana na huheshimu na kupenda familia yake na wengi hubarikiwa sana na Mungu.
Mwisho, yote hayo uliyoongea chanzo chake ni wanaume kulaghai wanawake na mwisho wa siku baada ya kuwaharibu ndio hujiona vidume halafu wanawakimbia hao wadada, sasa je WAJIOE WENYEWE?
Nawaheshimuni sana wadada hata kama upo above 25 au above 30 don't give up! Amini Mungu ni mwema kwako na usikate tamaa kumuomba kila siku ili upate mume bora na sio bora mwanaume.
Cheers !!