MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,094
- 7,225
Chama cha Maendeleo na Demokrasia (CHADEMA) kama ambayo huwa kina jipambanua kuwa ni chama cha wananchi kilichoanzishwa ili kuja kuwakomboa watanzania kutoka uta wala wa chama kimoja, chama chaapinduzi.
Kwa miaka ya nyuma kidogo kama kilijitahidi Kiasi Fulani (kama 32.7%) kujitangaza na kujipambanua miongoni mwa watanzania wengi kuwa wao ni chama cha aina gani, kina Sera ipi, na mikakati yao ya kufikia kilele cha safari yao ya matumaini.
Hakika wakati wa uongozi wa katibu mkuu Dr Wilbroad slaa chama kilikuwa kinaanza kuonesha mwanga na tumaini jipya kwa wafuasi wake. Hata Mimi hilo nililiona kwa uwazi na mapana yake.
Chadema kilikuwa na hoja zenye mashiko na ushawishi ulio dhahiri (tafadhari kaa chini japo DK 1 uikumbuke CHADEMA chini ya Dr. Slaa). Chama kilikuwa na vijana wenye mapenzi ya dhati na kujitoa kwa ajili ya kile chama kiliwatuma na kukiishi.
Lakini toka aondoke Dr Slaa CHADEMA kimekuwa kama chama fungu la kukosa, kimekuwa kama chama mgane/ mjane, chama jongoo (hakioni mbele), chama cha kuvizia matukio (kaa chini dk 2) utafakari kwa kina kama CHADEMA kina hoja rasmi na mahsusi kama chama cha siasa.
Siku hizi kila siku wamekuwa wazee wa rambi rambi, tetemeko, ukuta, kata funua, koromije , n.k
Wenzao chama cha mapinduzi wana hoja yao inayoimbwa na kila mwanachama kuwa Tanzania ya Viwanda. Lakini CHADEMA wangekuwa kama kuku aliyechoropoka wakati ana chinjwa na hivyo kuruka ruka mitaani bila kichwa (kiwili wili tu kimebaki). Mathalani uwepo wa wazee wa walio kimaslahi kama edward LOWASSA , Fredrick @Sumaye , katibu mkuu Mashinji ndio kama yuko kwenye likizo isiyo na malipo wala majukumu (sabbatical leave) .. Kimegeuka kuwa chama cha wapiga ramli chonganishi kwamkina Gwajima na wenzake. Mjitafakari sana.
Natabiri anguko kuu la CHADEMA kabla ya uchaguzi mkuu wa 2020 maana chama kisha katwa kichwa hivyo kimebaki kiwili wili tu .
Badilikeni, njooni na hoja na mikakati madhubuti ili kurudisha hadhi na nguvu ya chama.
Kwa leo ni hayo tu.
Nina