privacy
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 1,446
- 1,273
Huu mradi mpya?
Nimeshindwa kushangaa pia japo mwanzo nadhani ulikuwa ni mradi wa UG, KE na mwisho TZ
Huu mradi mpya?
Kuna vitu kadhaa vya kuangalia including landscape, environmental issues, settlements, etc. Huwa wanajaribu kadiri inavyowezekana kukwepa milima na miinuko mikali ili kupunguza gharama katika pumping, etc.Baada ya kupiga kona pale Chato kwanini isinyoke kwenda Shinyanga moja kwa moja Tanga badala ya kushuka chini then ikarudi juu tena
Kale cement kilo 50@11000Unga kilo 2500
Umelalamika mengi humu ila sijaona point unayolalamikia.Huyo aliemchorea ramani rais anatakiwa kuwajibika. Ramani inayoenda duniani wanakosea neno la kawaida kabisa. Uzembe wa hali ya juu.
Je kwenye mikataba waliona kila kitu hasa vile vigumu ikiwa haya ya kawaida hawaoni wanatuanika taifa zima tunaonekana wababaishaji? Lini wataalamu wetu watakua MAKINI kwenye kufanya walau ya kawaida tu?
Swali dogo. Hivi huwa kuna uhariri wa taarifa wanazotoa kwa umma? Maana kuna wakati hadi jina la nchi au nembo vinakosewa.
Hapa Arusha kwenye mzunguko wa Mwenge wa Uhuru bendera ya taifa imechorwa juu chini. Mshazari umelala toka kushoto badala ya kuinuka.
Na ni njia ambayo wakuu wote wa Arusha lazima waipite. Na ndo pana makumbusho ya Azimio la Arusha. Watalii kibao hupita hapo na ndio tunachowaonyesha. Huu ni mwaka wa pili au zaidi. Hadi lini uzembe kama huu?
Ifike mahali tumakinikie mambo. Weledi unazaliwa na kutenda ya kawaida kwa umakini.
Mradi ndio ushapita tz pole yaoNaona km mradi ungeptia Kenya ingekua ni karibu zaidi sijui hawa jamaa walikosea wapi au kuna siri gani kubwa zaidi
Ukawa hampendi habari njemaHii habari mbona inajulikana si ndo bomba la mafuta toka Tanga mpaka Uganda huko...maana naona mambo ni kurudia rudia vitu mara mbili mbili...
Utapungua ndugu wala usihofu, wakulima tushaanza kuwavunia na mahindi yamepungua bei tayari kwa kiasi kikubwa tu, sasa sijui wewe unanunulia wapi hio sembeUnga kilo 2500
Tutaibiwa nini sasa kwani mafuta ni yetu au Uganda?Baada ya miaka 10 ccm mtakuja kutuigizia kuwa tanzania inaibiwa