Recent content by IFUMBUDU

  1. I

    Kilimo bora cha Mananasi: Uandaaji wa shamba, upandaji, utunzaji wa mimea na uvunaji wa mananasi

    NIMEITOA MAHALI Leo naomba niweke mkusanyiko wa mada za kilimo.. nimeamua kufanya hivi ili kusaidia wale ambao ni wanachama wapya na wanachama wengine ambao wanataka kujikumbusha mada hizo na kuchukua hatua: Tukumbuke!! TUKIWEKA JITIHADA.. KILIMO KINALIPA!!.nawapeni mfano: unaenda Kiwangwa...
  2. I

    Haki ya Mtu aliyesimamishwa kazi ( Ualimu )

    maelezo hayajitoshelezi kama sababu ya kusimamishwa,kama taratibu za kusimamamishwa zilifuatwa
  3. I

    Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

    KIJANI,naomba nikuulize kuhusu upatikanaji wa mashamba Ruaha mbuyuni
  4. I

    Ndugu yangu amefukuzwa kazi kisa fao la kujitoa

    hayo mafao kachukuaje bila management kujua/utaratibu ni lazima mwajiri ajaze fomu ya nssf aweke sahihi na muhuri sasa,lakini pia kabla hujaanza hatua yeyote ya kuprocess mafao ni lazima uende na barua ya mwajiri ikikuonesha ama umeacha,kuachishwa au kustaafu kazi.sasa sijui huyo ndugu yako...
  5. I

    January Makamba acha mchezo huu mara moja

    hakika hata mimi ananiketa sana,naomba tuheshimiane
  6. I

    Dr. Slaa akimbia Mdahalo wa Kesho

    logical dr kajibu vema sana
  7. I

    Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

    Mleta hoja umerogwa wewe,hufai wewe,muongo wewe sjui umekunywa mbege ya wepiiiiiii..?
  8. I

    CHADEMA Wakamatwa na Vifaa vya Kijeshi Ofisini!

    ifike pahala tuache siasa zifanywe nan wanasiasa....huku ni kudhalilisha jeshi
  9. I

    Mwenye Rav 4, Model 1999 inahitajika

    ipo namba B bei tisa
  10. I

    Kwa utaratibu uleule, Kiongozi mkuu wa ACT-Wazalendo awaambie vyanzo vya mapato ya Chama

    mbona wafuata mkumbo wa ACT mnazunguka mmbuyu?hoja imeleweka kwakuwa kiongozi mkuu alitaja malizake hadharani katika dhana ya uwazi tena ya kizalendo basi itumike tena dhana hiyo kutueleza vyanzo vya fedha za kuendesha mikutano hii...Na akifanikisha hili bila kuuma maneno na mimi ntajitazama tena.
  11. I

    Dr. Slaa apokelewa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere akitokea Marekani

    mmestukiza sana leo ningeongopa naumwa nisiende job nikamlaki Raisi wangu
  12. I

    Usaili Tume ya Mahakama

    majina hayajatoka watu wapuuzi humu
Back
Top Bottom