Dr. Chami, Moshi vijijini hana mpinzani kabisa

mwambie chami yupo victor Tesha,yupo Hans na vijana wengine wenye kujua siasa.Yeye akatafute kazi afanye ni mchumi mzuri akafanye kazi za kukuza uchumi.pia amlaumu aliyemwingiza kwenye siasa za maji taka tz
 
Sijui wamelipwa ngap hawa buku saba misukule ya chama la ufisadi na fisadi wao chami.

Kamuambieni asubiri mziki wa mh. Lucy mtoto wa ndesa pesa kwani hatauweza kamwe. Huyu mwanamama tushampa jimbo mapema sana

Huyo mwanamke anagagaa na wanga chami yupo fiti
 
Kama maendeleo ni kuchinja ng'ombe na kuwapa watu mbege ndiyo tutajua mwaka huu.Hakuna mbunge mwenye ubaguzi na chini kama Chami. Kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana alisema hakufika kwenye kijiji cha Kariwa kwa muda wote WA ubunge wake kwa kuwa walichagua mkiti wa kijiji wa CHADEMA. Kwa hasira wananchi wakamrudisha mkiti madarakani kwa kishindo ma wameapa kumng'oa Chami mwaka huu.

Tunapozungumzia maendeleo unaongea au unatapika kijana cham yupo vizur au mlitaka mgawiwe kanga nyambafu
 
mwambie chami yupo victor Tesha,yupo Hans na vijana wengine wenye kujua siasa.Yeye akatafute kazi afanye ni mchumi mzuri akafanye kazi za kukuza uchumi.pia amlaumu aliyemwingiza kwenye siasa za maji taka tz

Hancy yupi huyo tapel wa vodacom haa kwel mnayumba eti wanajua siasa
 
Nimetambua bado mpo na uru na ukibosho nyambafu muulizen musando kasaliti amri kwa dr
 
Mleta hoja umerogwa wewe,hufai wewe,muongo wewe sjui umekunywa mbege ya wepiiiiiii..?
 
Sijui wamelipwa ngap hawa buku saba misukule ya chama la ufisadi na fisadi wao chami.

Kamuambieni asubiri mziki wa mh. Lucy mtoto wa ndesa pesa kwani hatauweza kamwe. Huyu mwanamama tushampa jimbo mapema sana

Pongezi nyingi sana makamanda kwa kuhakikisha kuwa hakuna jimbo linampitisha mbunge wa magamba bila kupingwa
 
Mwambie nipo mimi,baada ya kukaa huku kwa WAKWERE na WAZARAMO sasa nataka kurudi home SWEET HOME........:smiling::smiling::smiling:

Kama upo serious kamanda nenda,nenda kapambane kwani hakuna mwenye leseni ya kutawala hapa Tanzania.
 
Kama maendeleo ni kuchinja ng'ombe na kuwapa watu mbege ndiyo tutajua mwaka huu.Hakuna mbunge mwenye ubaguzi na chini kama Chami. Kwenye kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana alisema hakufika kwenye kijiji cha Kariwa kwa muda wote WA ubunge wake kwa kuwa walichagua mkiti wa kijiji wa CHADEMA. Kwa hasira wananchi wakamrudisha mkiti madarakani kwa kishindo ma wameapa kumng'oa Chami mwaka huu.

Hongera zao hao wananchi kwa kujitambua,tuone na safari hii kama hataenda kuhemea kura zao za ubunge.
 
Kama upo serious kamanda nenda,nenda kapambane kwani hakuna mwenye leseni ya kutawala hapa Tanzania.

Subiri kaka safari kidogo,mambo mazuri hayahitaji haraka......
 
Mbunge wa wa moshi vijijini anaonekana hana mpinzan kabisa hii ni kutokana na kuleta maendeleo ndani ya jimbo na kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na barabara pia mbunge huyu amezidi kuonyesha uimara wake kwa kujenga kiuwezo akina mama kwa kuwanufaisha kwenye vikundi mbalil mbali. Naona huyu mzee mlango wa bungeni 2015 october unamuhusu

Mh. Chami ina maana umeanza kuwagwaya wapinzani wako ndo maana unawatishia nyau? Lakini kwa CCM si una wapinzani wewe? Nilisikia jamaa moja linaitwa Hans Mmasy limekutingisha ndani ya chama ndo maana umeanza vitisho! Nje ya ccm mtaukuta mziki wa UKAWA, sina uhakika kama utauweza huo mziki!!

Nimeipenda hiyo mbinu uliyotumia ya kujitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe!!
 
Songa,songa kamanda kwani hakuna aliyezaliwa akiwa mbunge,zetu duwa.

Usiwe na wasiwasi,inabidi kujiandaa,siwajua tena akina Mama kuingia kwenye siasa yahitaji support kubwa toka kwa wadau,not pesa lakini...........
 
Karibu ukamsindikize mwanaume bungeni njoo na hoja za vitenge haaa chaliii
 
Mbunge wa wa moshi vijijini anaonekana hana mpinzan kabisa hii ni kutokana na kuleta maendeleo ndani ya jimbo na kuboresha miundombinu ya umwagiliaji na barabara pia mbunge huyu amezidi kuonyesha uimara wake kwa kujenga kiuwezo akina mama kwa kuwanufaisha kwenye vikundi mbalil mbali

Naona huyu mzee mlango wa bungeni 2015 october unamuhusu

Mkuu hiyo research umeifanyia wapi?au amekutuma uje uangalie upepo
 
Usiwe na wasiwasi,inabidi kujiandaa,siwajua tena akina Mama kuingia kwenye siasa yahitaji support kubwa toka kwa wadau,not pesa lakini...........

Jipe moyo kwani hilo ndio la msingi kama unakubalika,hivyo vingine ni mbwembwe tu kamanda.
 
Mkuu,

poleni sana, hapo Moshi vijijini yupo kijana wangu VICTOR TESHA, anamheyesha sana huyo mzee Dr. Chami.

Mwambie aachie kiti kwa heshima, maana mwaka huu ni mwaka wa vijana.

Naona Victor kaamua kumuondoa Chami.
 
Mh. Chami ina maana umeanza kuwagwaya wapinzani wako ndo maana unawatishia nyau? Lakini kwa CCM si una wapinzani wewe? Nilisikia jamaa moja linaitwa Hans Mmasy limekutingisha ndani ya chama ndo maana umeanza vitisho! Nje ya ccm mtaukuta mziki wa UKAWA, sina uhakika kama utauweza huo mziki!!

Nimeipenda hiyo mbinu uliyotumia ya kujitekenya mwenyewe halafu unacheka mwenyewe!!

Teeeh,teeeh,jamaa anatupa Howe kichakani ajuwe ni mnyama gani atatoka humo?
 
Back
Top Bottom