Recent content by idrisabizzy

  1. I

    Wanaume wabahili na wategemezi

    Duniani hapa kuna mwanaume wanamna hiyo??? mhhhhhh
  2. I

    Wanachuo wakitanzania wanaosoma Algeria na China wanataabika sana

    Poleni sana, kwa sirikali hii ya 5 hela inatafuta za kulipa fadhila kwa waheshimiwa wateuliwa walio msaidia kwenye kampeni, walio kua majipu sasa wageuka keki (Waheshimiwa).
  3. I

    Natafuta External Hard drive

    Kwa anayeuza external hard drive 1T, ani pm, offfer yangu ni 120-130K
  4. I

    Hivi ni kweli Keko imeshindikana kwa ukabaji?

    Polisi wakisikia kuna mgomo au mahali kuna dada poa mbona utawaona faster maeneo hayo, ila kwenye matimbwli kma hayo thubutu hao nani wakutokea, kma panya road tu waliwachachafya mie nimeshuhudia siku moja polisi ubungo baada ya kusikia sauti ya watu wakiita panya road naye aliamua kutimua mbio...
  5. I

    Haya ndiyo mafanikio ya Rais Magufuli katika kipindi cha miezi 8 iliyopita

    Basi wasomi waliopo kwenye taasisi hiyo nao ni jipu, siku hizi kila kitu ni taasisi. utafiti gani bomu kma huu. Na mie nitaanzisha taasisi yangu kufanyia uchunguzi Hela za mafao yetu (PPF) walizozuia,
  6. I

    Nauza Simu Samsung J1

    100k hapana mkuu. ipo kwenye ubora wake sana,
  7. I

    Lady Jaydee apiga dongo gizani "kichwa kama tofali"

    Huo ni ukweli mtupu [emoji121][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]
  8. I

    CV ya Goodluck Mlinga, mbunge wa Ulanga Morogoro

    Msilaumu Huyo mbunge, watu wa Ulanga ndo walivo na hicho ndo chema kwao maana angeletwa mwingine toka ulanga kingekua kituko zaidi ya huyo mwana
  9. I

    Bungeni: Goodluck Mlinga(CCM) atoa mpya... Adai Anatropia(CHADEMA) anamtamani kimapenzi

    Mbunge anawakilisha wananchi wa Ulanga, hivo anaonyesha jinsi gani wananchi wa Ulanga walivo maana kwao ndo kilicho bora kwao. Duuuuuuuuh ngoja Trump amsikie.
  10. I

    Nauza Simu Samsung J1

    kwa aliye tayari anicheki kwenye 0654797526
  11. I

    Nauza Simu Samsung J1

    Nauza simu yangu mwenyewe Samsung Galaxy J1 kwa 190,000/= Tsh. naomba kwa mwenye kuihitaji anicheki. Simu ni original ipo poa sana.
  12. I

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Na mimi sio mwalimu, ili mradi ujumbe umefika. lengo lilikua kupata uhakika wa minong'ono ninayoisikia sio mambo ya lugha. Asante
  13. I

    Serikali imesitisha ajira zote na nyongeza za mishahara nchini

    Ndugu wana JF kuna uvumi unaoendelea kua baba J pamoja na wenzake kwa wale walio wachagua eti kwasasa wamezuia ajila mpya hivyo hapatakua na nafasi za kuajiliwa mtu mpaka watakapo jisikia kufanya hivyo. Tafadhali mwenye taarifa kamili atujuze hapa. ***************** KWA WALIO NA WATARAJIAO KUWA...
  14. I

    Yametimia: Wenye nyumba sasa kulipa kodi

    Watoe kazi hao wazee walizouia kwa mwaka
  15. I

    Saikolojia na mafunzo ya polisi ni tatizo

    Hao akina nani wa TZ hii vichwa bomu sana, wakistaafu sasa ndo utawaonea huruma kitaa, akili yao sijui hua wanawaza nn. Wakiambiwa kuna wezi thubutu hawatokei ila wakiambia kuna maandamano sehem fulani siku fulani hua wanatamani siku hiyo ifike mapema wapewe posho za 20,000 ila hawaelewi watu...
Back
Top Bottom