Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,484
Ahsante kwa niaba!Hongera.
Ahsante kwa niaba!Hongera.
Haaaa haaaa JF never boring...Eti ana mwanaume baada ya kusema ana jambazi analifuga.😀
Heeee mbona hii comment umewahi kuijibu fasta?Amenizidi mwaka mmoja, he is 28
We una akili...hata hisia zangu zimelenga mle mle...Inaonyesha wewe ni mkubwa zaidi ya boyfriend wako
Heeeee kasema wapi?Uongo wewe umesema una 29 nadhani yeye ni 24 ndo maana Bado Anaishi kwao
Pitia tena uhakikisheUongo wewe umesema una 29 nadhani yeye ni 24 ndo maana Bado Anaishi kwao
Ndoa badoMungu aingilie pembeni kama si kati. ili kuinusuru ndoa yenu.
Acheni kutunga data sijasema hivo abadani yy ana 28 mie nna 27Heeeee kasema wapi?
Umeona eeh hisia zetu?
Hawajui thread wanazokuwa wameandika nyuma zinawaumbua!!
Yaani JF kuna vitukooo...
Dida anauza ma doldo, unaweza kutumia moja wakati ukisubiri the right man, huyo mwanaume hana mapenzi na wewe, yuko kukuchuna, mwanaume anaekupenda yuko tayari hata kubeba zege ili akusaidie.Habari zenu wana jukwaa, hivi inakuaje mwanaume anakua tegemezi?? Nna huyu boyfriend naona sasa amezidi, ukweli ni kwamba Mimi nna hela na sioni shida kumpa chochote ila tunakoelekea naona anaona dezo sana...mfano: Mimi nilisafiri kikazi morogoro akaja for a visit weekend huwezi amini alikuja na nauli ya kujia tu, kukaa na outing zote alinitegemea Mimi hadi nauli ya kurudia, niliboreka kwakweli...baada ya kurudi Dar nikakuta gari yake mbovu ametumia kama 1million kutengeneza na sikumsaidia Kwa chochote akaanza kunigombeza eti ametumia ela nyingi hata simjali financially ametetereka Mimi nipo tu..na wakati ananihombeza ivo akanipora pochi akachukua elfu 50 akaemda kunywa bia bar...the other time tukatoka outing akasema hana hela nikampa laki na nusu azishike yeye tukatoka tukakaa kama 1hr then tukaondoka tulitumia kama elfu 30 tu...huwezi amino aikurudishiwa chenji...nikimdai anazingua, ivi mwanaume unakuaje hivi tho shoo moja moja anasimamia ila anavo demand mmmh...so sawa
njoo kwangu dumesuruali ila kwa bed npo vizuri..Kwa bed hana lolote hajui kabisaaaa
Tatizo lao hawatafuti wanaume bali wanatafuta wavulana ili wawanyonye na kuwaendesha kama magari (Shilole, Wema, Antie Ezekiel na hata huyu wakuswampa ni gume tu. Hivi uliona wapi mwanaume ananuna nuna kama mtoto. Si unaona hata hataki waende outing wote kule Zanzibar etc. Halafu anakuja kulalama hapa JF. Kwanza bado analelewa na mama yake aibuHeeeee kasema wapi?
Umeona eeh hisia zetu?
Hawajui thread wanazokuwa wameandika nyuma zinawaumbua!!
Yaani JF kuna vitukooo...
Wapo mkuu huwezi amini anakutegemea mwanzo mwishoSiamini kama kuna mwanaume wa namna hii.
Wapo mkuu huwezi amini anakutegemea mwanzo mwisho