Wanachuo wakitanzania wanaosoma Algeria na China wanataabika sana

Sio kweli, labda huko China. In Moscow now uwe mvivu tu, hata miji midogo watu walio determined wanapiga kazi na kujisomesha bila shida. Binafsi nilivyoona mambo ya mikopo yanazingua I worked for my pocket money, accommodations, tuition fees na nilisoma bila shida.

You just need to be determined...
conglats thats y nilikua nakwambia china na Algeria sio kama Europe na watu waliosoma Moscow enzi hizo walikua wanaenda kupiga mzigo sweden pia
 
Sio kwa awamu hii.
It seems awamu hii wanakusanya pesa za kulipa wateuliwa.

Wajipange tu warudi.
Kuna mama mmoja muuza Genge mwanaye yupo Algeria.Unaambiwa misaada imekatwa waliyokuwa wanaipata awamu iliyopita.Tena walipata scholarship. Sijui wamlilie nani.Wamebaki wanaosha vyombo kwa waarabu na kuogesha wazee.Inasikitisha!!!!Where to Run??
 
Poleni sana, kwa sirikali hii ya 5 hela inatafuta za kulipa fadhila kwa waheshimiwa wateuliwa walio msaidia kwenye kampeni, walio kua majipu sasa wageuka keki (Waheshimiwa).
 
Na huwa tukienda kule huwa tunawaambia wahakikishe wanarudi nyumbani kulitumikia taifa.Sawa.
 
Kuna mama mmoja muuza Genge mwanaye yupo Algeria.Unaambiwa misaada imekatwa waliyokuwa wanaipata awamu iliyopita.Tena walipata scholarship. Sijui wamlilie nani.Wamebaki wanaosha vyombo kwa waarabu na kuogesha wazee.Inasikitisha!!!!Where to Run??
Tena jamaa alipata taarifa kama hizi ndio roho yake inasuuzika inakuwa nyeupew anafurahi sana anashika shika miwani yake tu.
 
Kuna mama mmoja muuza Genge mwanaye yupo Algeria.Unaambiwa misaada imekatwa waliyokuwa wanaipata awamu iliyopita.Tena walipata scholarship. Sijui wamlilie nani.Wamebaki wanaosha vyombo kwa waarabu na kuogesha wazee.Inasikitisha!!!!Where to Run??
Nasikia nchi kama Algeria ukipewa kibali cha kusoma kimeandikwa hauruhusiwi kufanya kazi yoyote mpaka ubadilishiwe kibali
 
Warudi tu wajiandae kulipa zile walizopewa hadi sasa, hapa shughuli tu.
 
Back
Top Bottom