idrisabizzy
Senior Member
- Dec 5, 2015
- 112
- 48
Nauza simu yangu mwenyewe Samsung Galaxy J1 kwa 190,000/= Tsh. naomba kwa mwenye kuihitaji anicheki. Simu ni original ipo poa sana.
100k hapana mkuu. ipo kwenye ubora wake sana,Chukua 100K faster mkuu