Ndugu wana Jf naomba msaada kwenu
Napata shida wakati wa kujisaidia choo kikubwa, napata maumivu makali huku choo kikiwa kimechanganyika na Damu, je! Haya ni maradhi gani na nini Tiba yake?
Ndugu wanajamvi
Salaam
Kwa wataaramu Wa tiba
Mtoto wa ndugu yangu Amekuwa akikohoa kwa muda si chini ya miaka mitano sasa. Kikohozi hicho ni kikavu, tumejaribu hospital zetu huko wilayani bila mafanikio.
Tafadhali naomba ushauri wenu.
Mbeky usichoke na vitu hivi vya electronics hasa vya mmarekani, kwanza ujue wao ndio wana control kila kitu. Kama una account ya gmail, jaribu kuwasiriana nao watu wa apple watakuambia solution
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.