Msaada please iPhone users nimedelete default app

Msaada please iPhone users nimedelete default app

Sign in kwenye icloud Kwanza halafu ifanyie reset
nimefanya hivyo ila bado mdau sijui nini nifanye tena sasa....nishachanganyikiwa....nikilock screen zile notification za IOS 10 zinazobaki kwenye screen, kwenye notification za Apple music app inaniandikia 'unable to load"
 
Mbeky usichoke na vitu hivi vya electronics hasa vya mmarekani, kwanza ujue wao ndio wana control kila kitu. Kama una account ya gmail, jaribu kuwasiriana nao watu wa apple watakuambia solution
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom