Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,367
- 100,408
Akilete chakula cha msaada kwani hata anacho???? HahaahahHivi mleta mada kweli huwezi kuuona ukweli wewe mwenyewe mpaka yule 'Mfalme' aje kukuaminisha kwa zile porojo zake?
'Mfalme' anasema "Tz hakuna njaa kabisa, sitaleta chakula cha bure cha msaada, ardhi ni ya kijani, watanzania muache uvivu, muanze kulima vyakula vinavyohimili ukame!"
What does he mean?
Try to read between the lines, utaona ukweli.