Recent content by Idakolyanzoka

  1. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya askari wa Suma JKT yatikisa Kilimanjaro

    tatizo pay ya 170000 per tar 37
  2. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Hebu leo wakumbuke wahadhiri wa vyuo vikuu waliokufurahisha kwa jinsi ya umahiri wao wakufundisha na walivyokuwa 'fair'

    mwalimu wangu advance shule A Mwanza.alkua zaidi ya komedi.kwanza hanyoi sharubu zake ni kama hitle,alkua very lough kuanzia nguo mpaka mwili.dadeki alkua na mkanda mweupe kama utambi wa taa.dadeki biology kwake ilikua kama kumeza mlenda mzee hatembei na kitabu wala notes ni chaki tu...
  3. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la usikivu. Je, ninaweza kusomea kozi gani kuendana na hii hali?

    mabubu huwa balaa kwenye ufundi.yupo mmoja namjua anaishi nyakato mwanza anacheza na mbao hatari kazi zake nazikubali knoma.bubu weka mbali na ufundi mungu hakunyimi vyote.
  4. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la usikivu. Je, ninaweza kusomea kozi gani kuendana na hii hali?

    mabubu huwa balaa kwenye ufundi.yupo mmoja namjua anaishi nyakato mwanza anacheza na mbao hatari kazi zake nazikubali knoma.bubu weka mbali na ufundi mungu hakunyimi vyote.
  5. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

    mzee ya L.A CALISHIZO na amsterdam
  6. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Niko Chalinze, niende wapi kwenye kiwanja cha bata?

    Stand ya dar vuka road upande wa pili nyuma ya maduka kuna eneo la waz utakuta k znauzwa
  7. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Kwani hili Basi linaenda wapi?

    tafuta kiba100
  8. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Safari yangu Jijini Arusha na niliyoyakuta

    mke wangu mmeru ni pc kali ila meno ni ya dhahabu nliwahi muuliza chanzo nn akanambia maji.
  9. Idakolyanzoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya kibongo hata uirudie mara nyingi huwezi ikinai.

    muandaaji ni yule zoba manywele wa ndizi zoro.
  10. Idakolyanzoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwenye namba za wachambuzi wa muziki naomba msaada

    mtafute madam rita na baharia salama jabir watakusaidia hao ndo magwiji naowajua.
  11. Idakolyanzoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini maana ya EP?

    Enclosed poems
  12. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania ARV uzisikie kwa wenzako, tutumie condom

    sex+aids+arv=death(no way out)
  13. Idakolyanzoka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina wakati mgumu sana, nahisi nimeambukizwa HIV

    Mkuu ondoa hofu kabsa.it happens once a million for a single encounter with a hiv+ person who is taking arv for u to acquire that stupidy ukimwi.
  14. Idakolyanzoka

    JamiiForums Tanzania Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

    Na mwanangu junior yeye lipoti kapoteza na hajui kawa wa ngapi
Back
Top Bottom