Niko Chalinze, niende wapi kwenye kiwanja cha bata?

Mr Chromium

JF-Expert Member
Aug 20, 2020
2,088
2,705
Hello JF,

Niko nafanya tour. Tumeshuka hapa na private tunaelekea Dar for sikukuu lakini naona pamepoa kiaina.

Wenyeji mnishauri niende wapi.

  • Kiwanja kizuri cha kustarehe
  • Kiwanja cha pombe kizuri
  • Kiwanja cha misosi hatarii
  • Sehemu nyingine amazing n.k

Niwekee code

#+255
# -OH
nk
 
Hello JF,

Niko nafanya tour. Tumeshuka hapa na private tunaelekea Dar for sikukuu lakini naona pamepoa kiaina.

Wenyeji mnishauri niende wapi.

  • Kiwanja kizuri cha kustarehe
  • Kiwanja cha pombe kizuri
  • Kiwanja cha misosi hatarii
  • Sehemu nyingine amazing n.k

Niwekee code

#+255
# -OH
nk
Navyojua miji iliyokaa ki-transit usitegemee kupata chochote kizuri kwa hivyo unavyotaka. Wao wamejiweka kuhudumia watu wa haraka haraka sio outings.
Vyoo vyao na customer service pia utata sababu ya aina ya wateja wao.
 
Hello JF,

Niko nafanya tour. Tumeshuka hapa na private tunaelekea Dar for sikukuu lakini naona pamepoa kiaina.

Wenyeji mnishauri niende wapi.

  • Kiwanja kizuri cha kustarehe
  • Kiwanja cha pombe kizuri
  • Kiwanja cha misosi hatarii
  • Sehemu nyingine amazing n.k

Niwekee code

#+255
# -OH
nk
Labda ungesema uko Chalinze na uende katika 'Kilinge' gani ( kipi ) cha Waganga wa Kienyeji Ukaroge / Ukaturoge tungekupa Mrejesho wetu upesi ila Kuulizia maeneo ya Starehe ( Bata ) Chalinze ni sawa na Kuulizia 'Gesti' za Kufanyia Uzinzi na Uzinifu ( Kubanduana ) Saudi Arabia au Vatican City.
 
Chalinze na Viwanja vya bata wapi na wapi? Hiyo ni njia tu ya kwenda kula bata ila siyo sehemu ya kula bata, kifupi bado uko njiani kuelekea kula bata.
 
Back
Top Bottom