Recent content by iconman

  1. I

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Vyuo vikuu: Walau nusu ya wahadhiri wawe na PhD

    Wenzako wamesoma huko huko SUA na UDSM na wametoka na first class tena mpk za 4.8 nn hiyo 3.8 iliyowekwa hacheni tabia zenu za kutafuta sababu zisizo na msingi ili TCU watanue goli.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mwenye taarifa kuhusu zile nafasi za kazi CBE

    Wadau nilikuwa naombwa kujuza zile nafasi tulizoomba CBE maana deadline ilikuwa tarehe 11 mwezi wa 4, Je nikwamba waisha ita watu au bado mchakato unaendelea mimi niliomba nafasi ya marketing..Naomba kuwasilisha
  3. I

    JamiiForums Tanzania Kwa wale watalaam wa sheria mtusaidie hili

    Hivi hi imekaaje mtu ambaye ana kesi 2 kesi ya kwanza teyari amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 6 na kesi ya 2 hukumu yake bado ila inatarajiwa kutolewa next week kwa mfano hiyo hukum ya kesi ya 2 huyu mtu akahukumiwa kifungo cha gerezan. Je hizi adhabu atazitumikia kivipi wkt teyari ni...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Usaili NIT

    Vip jaman kwa mliomba tutorial assistant kwenye position za IT mmeitwa.
  5. I

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    Ah hi hatari sasa hi itakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na maraisi 6 yaan 1.rais wa jamhuri ya muungano 2.makam wa rais wa kwanza wa jamhuri 3. Makam wa rais wa 2 wa muungano ambaye ni waziri mkuu pia 4.rais wa serikari ya mapinduzi ya zanzibar 5.makam wa kwanza wa raisi ya serikari ya...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa juu ya 2/3 ktk bmk..:

    Kwa wale wataalam wa mambo ya siasa na sheria hivi endapo kama ukawa hawatarudi kupiga kula bungeni je 2/3 ya upande wa Zanzibar itapatikana maana namsikia 6 anasema itapatikana tu hata ukawa wasiporudi je hi ikoje hapo.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

    Part 1: https://www.youtube.com/watch?v=bDbUTYbPMc4
  8. I

    JamiiForums Tanzania Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

    Mlio omba mdahalo muwekewe youtube huo hapo sasa visit hi link Part 1: http://www.youtube.com/watch?v=bDbUTYbPMc4 Part 2: http://www.youtube.com/watch?v=8cx_BfH1i8I Part 3: https://www.youtube.com/watch?v=SZviE379i1U
  9. I

    JamiiForums Tanzania Nimesikitishwa na kauli ya Clouds FM

    Pole bado unasikiliza clouds tu ndugu yangu pole sana kama unataka kipindi bora cha asubuhi sikiliza Morning Magic ni bonge ya kipindi aisee..!
  10. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya ununuzi wa bati za msouth..!

    Ahsante mkuu bagain hawa jamaa wa ALAF hizo ofisi zao ziko maeneo gan hapa mjini
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya ununuzi wa bati za msouth..!

    Sawa mkuu ngoja ni jaribu kuwacheki hao nasikia wanauza kwa meta je hao jamaa wa ALAF wanauza meta 1 bei gan au wanafanyaje mauzo yao..!
  12. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya ununuzi wa bati za msouth..!

    Ahsante mkuu ngoja ntajaribu kuwacheki hao ALAF
  13. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya ununuzi wa bati za msouth..!

    Wana Jamii forum nimefanikiwa kujenga nyumba yangu sasa niko ktk hatua ya kuezeka nilikuwa nataka nitumie bati zile za rangi alimaarufu kama bati za msouth nilikuwa naomba ushauri wenu je kampun/kiwanda gani hapa bongo kinatoa bati nzuri za aina hiyo na kwa bei nzuri na je ntagunduaje bati feki...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya ununuzi wa bati..!

    Wana Jamii forum nimefanikiwa kujenga nyumba yangu sasa niko ktk hatua ya kuezeka nilikuwa nataka nitumie bati zile za rangi alimaarufu kama bati za msouth nilikuwa naomba ushauri wenu je kampun/kiwanda gani hapa bongo kinatoa bati nzuri za aina hiyo na kwa bei nzuri na je ntagunduaje bati feki...
  15. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nitawezaje kumsahau my X-girlfriend?

    Pole sana ndg yangu kwa hilo bt solution yk ni ndogo sana ukitaka umsahau kabisa ua x girlfriend we uwe unakumbuka mabaya yk aliyokuwa akikufanyia usikumbuke mazuri yk...hiyo ndo solution!
Back
Top Bottom