Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

naendelea kujua kwa nini watu hujilipua, ukiwa na kundi la wezi km CCM ni wazi siku moja waweza jitoa mhanga
 
katiba iliyopendekezwa na bunge la katuba ni majanga matupu akuna cha maana idiot
 
naendelea kujua kwa nini watu hujilipua, ukiwa na kundi la wezi km CCM ni wazi siku moja waweza jitoa mhanga

ni kweli tanganyika ni baada ya berlin!!
ss ebu nikuulize muungano wa tz ni wa zanzibar na nchi gani??
je kama zanzibar wakichukua fito cc tutabaki na nn??
je tutaitwa tz bara ,tanganyika au tutaanza kupiga kura kutafiuta jina jipya na kuacha hii ya berlin???

mbona hoja za kessi hamkuzijibu??mmebaki kungamgania hati jina ya berlin!!

basi na Dar es-salaam nayo tuache kutumia kwa sababu hili jina lilianzishwa na sultani majid bin said

TUMIA AKILI KIJANA
 
Akili zako za ki CCCM (Genge la wezi) ndo maana unadhani Zanzibar ikiondoka hakuna maisha! Pole we
 
huyu makamo wa kwanza wa Rais anapata wapi uhalali wa kuwa makamu wa kwanza wa Jamhuri ya muungano wakati hajachaguliwa na watanganyika?
 
Ah hi hatari sasa hi itakuwa nchi ya kwanza duniani kuwa na maraisi 6 yaan 1.rais wa jamhuri ya muungano 2.makam wa rais wa kwanza wa jamhuri 3. Makam wa rais wa 2 wa muungano ambaye ni waziri mkuu pia 4.rais wa serikari ya mapinduzi ya zanzibar 5.makam wa kwanza wa raisi ya serikari ya mapinduzi ya Zanzibar 6.makam wa 2 wa rais ya serikari ya Zanzibar where we are going enough is enough sasa...!! Ewe mtanzania chukua hatua sasa
 
Kyenju, ndiyo maana tunapaswa kwenda mbali ili nchi hii iwe moja kwa kuwa na serikali moja. Kwame alishaliona hilo siku nyingi sana. Atabaki kuwa sahihi.
Wewe ungejibu swali la Kwenju badala ya kuzunguka.Sasa ya nini kuiita Tanganyika ya wakoloni wakati unajua kabisa mpaka tuwe na serikali moja ndio ife?.Sometyms mnakera sana kwa kujivua ufahamu na kuwa vibaraka wa watawala watu kama nyie ambao walau mmebahatika kupata elimu ya juu.Shame on you!!!
 
Kumwamini mwizi ni pagumu hapo!!
Hapana masopakyindi, CCM wanamwamini sana Chenge hadi wakamchagua kwa kura nyingi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CCM na Bungeni! Na sasa ameingia katika historia mpya ya taifa; Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba 2014! Kumbuka, Birds of a feather fly together!
 
Hii sio katiba, ni uchafu kabisa.
Dr. Hellen kijo ameongea leo point sana chanel 10...watanzania sisi ni waoga sana. Tukitishwa na chagonja tu hatuwezi kudai haki yetu. Tunaogopa kupigwa na kufa, lakn hata kama hutakufa lwa kudai haki yako bado utakufa kwa kunyimwa haki yako. Beter ufe kwa kudai haki yako.
Watz kama tukiamu huu ufafu hautapita. Huu ni uchafu tena matapishi ya sitta na chenge. I hate these guys[/QUOTE niliwahi kusema humu ndani tatizo la nchi hii niwananchi wenyewe si Viongozi kwani viongozi ni mazao ya wananchi walivyo viongozi wanaonyesha wananchi walivyo nikahitimisha uoga wetu ndio nchi ilivyo navituko haviishi haya yote yasingukuwepo kama wananchi wangukuwa na udhubutu wakaweka uoga nyuma]
 
Jamani naomba msaada maana naona kama changa la macho;tulikubaliana kuwa serikali 3 ni gharama sasa huyu raisi wa nzanzibar kuwa makamu wa 1 wa jamhur ya muungano wa tz nikuwa akija kufanya shughuli za muungano kama makam wa rais halipwi? Na kama analipwa nini tofauti na serikali tatu

Kupinga serikali tatu hawakuwa na concept ya gharama kichwani mwao! sababu ya kukataa wanaijua wao na ambayo haiko wazi mpaka sasa, it is HIDDEN AGENDA!
 
Achilia mbali contents zake, hii katiba imetiwa unajisi wa hali ya juu kwa vile M/Kiti wa kamati ya uandishi ni fisadi Chenge aliyewekwa na mafisadi wenzake kutoka kwenye chama Cha Mafisadi, ambao wamemwamini kuwa ndiye kinara wa ufisadi kwenye chama chao kiasi cha kustahili kupewa uongozi katika ufedhili wao.

Walaaniwe hawa. Mikono michafu haiwezi kutuletea kitu kisafi hata siku moja.
 
mkuu naona umeleta ile ya mwaka 77, hebu angaia vizuri. maana zijaona kitu kipya hapo
 
UpuuZi mtupu Chadema wametoa mwanga na njia tuingue road tudai haki zetu watu hasa vijana wanaogopa unaatege haki yako utaipataje
 
Hapana masopakyindi, CCM wanamwamini sana Chenge hadi wakamchagua kwa kura nyingi kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Maadili CCM na Bungeni! Na sasa ameingia katika historia mpya ya taifa; Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba 2014! Kumbuka, Birds of a feather fly together!
Hata ndani ya CCM , nyadhifa nyingine zina nunuliwa, hasa kwa walio na vijisenti!!
Dosari kubwa ya hii Rasimu ya Sitta/Chenge ni kwamba imekuwa pioneered na watu ambao uadilifu wao katika utumishi wa umma uko doubtful.
 
Hii sio katiba, ni uchafu kabisa.
Dr. Hellen kijo ameongea leo point sana chanel 10...watanzania sisi ni waoga sana. Tukitishwa na chagonja tu hatuwezi kudai haki yetu. Tunaogopa kupigwa na kufa, lakn hata kama hutakufa lwa kudai haki yako bado utakufa kwa kunyimwa haki yako. Beter ufe kwa kudai haki yako.
Watz kama tukiamu huu ufafu hautapita. Huu ni uchafu tena matapishi ya sitta na chenge. I hate these guys[/QUOTE niliwahi kusema humu ndani tatizo la nchi hii niwananchi wenyewe si Viongozi kwani viongozi ni mazao ya wananchi walivyo viongozi wanaonyesha wananchi walivyo nikahitimisha uoga wetu ndio nchi ilivyo navituko haviishi haya yote yasingukuwepo kama wananchi wangukuwa na udhubutu wakaweka uoga nyuma]

Kweli sisi ni waoga, kazi yetu ni kulalamika kwenye mitandao. Niliweka jana thread juu ya wananchi kule Mbeya walioamua kwenda mahabusu ili wafungwe pamoja na wachache waliokamatwa na polisi baada ya mkutano wa Abdul Jumbe. Jinsi tulivyo waoga hatuwezi kufanya hivyo pale ambapo tukiamua kuandamana mfululizo na baadhi yetu wakatiwa ndani.

Ilitakiwa baada ya wenzetu kukamatwa kwenye maandamano, makundi kwa makundi ya watu wanajipeleka polisi na kuwaambia kwamba tufungeni na sisi kuonesha mshikamano na wale waliokamatwa but this kwa wadanganyika it is next to impossible as kuandamana tu ni waoga kazi yetu ni kulalamika chini ya mvungu na mitandaoni.
 
Back
Top Bottom