Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

Ombi kwa ITV, tunaomba mdahalo urudiwe

Wana jf, mlioangalia mdahalo uliofanyika leo mchana kupitia ITV mtakubaliana na mimi kuwa ulikuwa wa bora na wakizalendo. Si vibaya ukarudiwa kuonyeshwa tena yaani recorded kwa mafufaa ya wananchi wazalendo.

Na mimi nakuunga mkono urudiwe. ITV wasioogope vitisho vya Sita na udikteta wake. Wengi tuna hamu ya kuona kwakuwa kutokana na sababu mbali mbali hatukuweza kuona LIVE. Tena mkirudia msi-edit. Kama sivyo tunaomba mtengeneze DVD.
 
Naunga mkono mdahalo urudiwe, ingawa nina wasiwasi kama ITV hawajatishika na mkwara wa 6 kuhusu vyombo vya habari. Pengine hilo la mkwara ndilo linaloifanya ITV waendelee kujifanya hawajasikia maoni ya watu.
 
Back
Top Bottom