Nitawezaje kumsahau my X-girlfriend?

Nitawezaje kumsahau my X-girlfriend?

mapenzi yanaumiza sana....jitahid kufanya kila kinachokupa aman rohoni mwako
 
mada yako yenyewe tu haiitaji ushauri, kwa sababu bado hujaamua kufanya maamuzi, halafu hujawa muwazi. ila ushauri wa jumla kufa lazima utamsahau tu.
 
Km huwez kumsahau mrudie c unampenda na ukitaka umsahau usiwasiliane nae!Km hutak mwmbie akupe uchangamxe damu!
 
We mwenyewe hujielewii! Hujisomii mnakumbushiana past zenu alafu unasema unataka umsahau? Kama uko real futa namba name destroy kila kitu ambacho ktakufanya umsahau...alafu move on with yoh life
 
very simple tafuta mwingine, jiweke busy na futa namba yake ya simu na usiwasiliane nae tena....
 
MMU idumu!!!!
Ndugu zangu huyu ni mwanamke niliyempenda akanipenda. Sikuwahi kufikiria kwamba kumpenda mtu kunaweza kufanya mabadiliko. Lakini this girl made me a better man. Kwa kweli nili-enjoy sana wakati nipo naye na tulishare mambo mengi. Mpaka home kwao alinipeleka nikaifahamu familia yake vizuri. Unfortunately kwa sababu zisizozuilika ilibidi tuachane. Tuli-break up mwaka jana March. Lakini kuchat tunachat vizuri tu ila si mara kwa mara sana. Lakini nikitaka ni move-on ninakuwa nahisi kama bado ninampenda huyu girlfriend wangu. Nisaidieni kimawazo ndugu zanguni maana siku chache zilizopita nilichat naye akawa ananikumbusha enzi za mapenzi yetu. Kwa kweli mimi na huyu girlfriend wangu tulipendana sana. Lakini huu ni muda wa kuendelea na maisha yangu.

Pole sana ndg yangu kwa hilo bt solution yk ni ndogo sana ukitaka umsahau kabisa ua x girlfriend we uwe unakumbuka mabaya yk aliyokuwa akikufanyia usikumbuke mazuri yk...hiyo ndo solution!
 
Back
Top Bottom