Kwa wale watalaam wa sheria mtusaidie hili

Kwa wale watalaam wa sheria mtusaidie hili

iconman

Member
Joined
Mar 4, 2014
Posts
28
Reaction score
13
Hivi hi imekaaje mtu ambaye ana kesi 2 kesi ya kwanza teyari amehukumiwa kifungo cha nje cha miezi 6 na kesi ya 2 hukumu yake bado ila inatarajiwa kutolewa next week kwa mfano hiyo hukum ya kesi ya 2 huyu mtu akahukumiwa kifungo cha gerezan. Je hizi adhabu atazitumikia kivipi wkt teyari ni mfungwa wa kifungo cha nje..tunaomba ufafanuzi juu ya hili wadau wa sheria.
 
Back
Top Bottom