Recent content by Ibwela

  1. I

    JamiiForums Tanzania Happy Sabath JF

    Ni siku ya furaha na baraka.
  2. I

    JamiiForums Tanzania Utani wa makabila! Tupia wako

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana, ni tafsiri zetu tu. Wanyamwezi kwa mfano sentensi hii,'Nfilagi omgeni akalale', kwa aliyetoka Pwani anaweza liamsha kama sio mjuzi wa lugha hiyo, maana yake ni ' mpelekeni mgeni akalale'. PWANI BWANA. [emoji23] [emoji23]
  3. I

    JamiiForums Tanzania Utani wa makabila! Tupia wako

    Hiyo ni ya Wapogoro wa huko Mahenge. 'Kafila mwene' sio tusi, maana yake, 'kapenda mwenyewe'
  4. I

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Mwanamuziki nguli wa miondoko ya Country, Don Williams afariki dunia

    R.I.P Sent using Jamii Forums mobile app
  5. I

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutafuta 'alama yako' kiroho

    Kitu TAHAJUDI huwa sikielewi ni nini hasa....!! Sent using Jamii Forums mobile app
  6. I

    JamiiForums Tanzania Vinyago/midoli vina roho

    Amina...!!! Sent using Jamii Forums mobile app
  7. I

    JamiiForums Tanzania Vinyago/midoli vina roho

    Leo nimejua kwa nini naviogopa. Asante sana Mshana Jr. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. I

    JamiiForums Tanzania Vinyago/midoli vina roho

    Huenda kuna ukweli,maana mimi mathalani huwa naviogopa sana, naviogopa tu hata sijui kwa nini!!! Niikiingia kwenye nyumba au ofisi ambayo sofa zina midoli hata sikai kabisa, unless niwaombe waliondoe. Anyway, labda nina matatizo. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. I

    JamiiForums Tanzania Anae weza kusaidia kuingia TANAPA by hook or cloock

    PANSIAS AU MWEKA PANA KUHUSU, LAKINI PIA WAWEZA BAHATISHA NJIA KUINGILIA JKT. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. I

    JamiiForums Tanzania Jina la mtoto wa kike linaloanza na herufi "G"

    Gwajima Sent using Jamii Forums mobile app
  11. I

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa mwanangenzi vitali Maembe kwa msanii Roma

    Angekufa tu , mke na mwanae wangelelewa tu, wala asiogope. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ujumbe wa mwanangenzi vitali Maembe kwa msanii Roma

    Kaka, sijaona msanii KICHWA kama Vitalis Maembe, huyu jamaa kaanza uanaharakati kitambo sana nadhani tangu enzi ya mzee mkapa, nyimbo zake zilifungiwa kupigwa RTD. Jamaa anajua, Roma mpuuzi tu hana cha maana,kaogopa kufa kwa ajili ya mwanae na mkewe. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. I

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

    Nikurekebishe kidogo kwa KBC, kipindi cha je huu ni UUNGWANA kilitangazwa na mzee Leonard Mambombotela. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. I

    JamiiForums Tanzania Wahenga wenzangu njoo tukumbushane vipindi vilivyobamba RTD enzi hizoo

    Kipindi cha Chagua la Msikilizaji saa nane na dk 2 mchana na Salamu kwa wagonjwa cha jumapili muda sikumbuki. Sikipenda matangazo ya Vifo. Sent using Jamii Forums mobile app
  15. I

    JamiiForums Tanzania Majambazi 13 wauawa Kibiti, wakutwa na Bunduki 8 pamoja na Pikipiki 2

    Kweli jamaa, mtu akiwa na bunduki anakulenga utasubiri procedures za kumkamata akiwa hai? PIGA SHABA MWACHE AKAFE MBELE....!! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom