Bismillahir Rahmanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
shurayamaimamutanzania@gmaili.com
BARAZA LA IDD ADH-HA, ALKHAMISI TAREHE 29.06.2023 -1444.
“HAKI NA UKWELI VITHAMINIWE ”
FALSAFA YA IBADA YA HIJJA
Awali ya yote tunamshukuru Mwenyezi Mungu Mwingi wa rehema kwa kutupa fadhila nyingi...
Hii post haina maana yoyote, umeandika kwa mhemko na chuki tu. Tuambia kitafiti, kwanza useme viungo gani vinatumika kutengeneza hiyo Al kasusu.
2. Utuambie katika mchanganyo huo ni kiungo gani kinaweza leta madhara kwa afya za watumiaji
3. Utuambie kama kila kinacho kudhuru wewe ni lazima...
Kitabu "JUHUDI NA CHANGAMOTO" Kilicho andikwa na Katibu Mkuu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislaam nchini Sheikh Ponda Issa Ponda kitazinduliwa tarehe 04/09/2022. Uzinduzi wa kitabu hicho utafanyika katika hafla ya Uhamasishaji Uandishi wa Vitabu kwa Viongozi Nchini.
Kitabu kitapatikana kwa Tsh...
KUTOKA MAKTABA KUU
Feb: 15, 2022.
Na Sheikh Ponda Issa Ponda
HOTUBA YA RAIS SAMIA NA PROFESA MALIMA
“Kuna makundi wanayoyafanya ndani ya serikali wanayajua. Makundi hayo yanageuka na kusema Serikali ya awamu ya sita ufisadi umerudi, mambo yako ovyo, kumbe wao ndio wako ovyo. Mambo hayo (ya...
SHEREHE ZA MAPINDUZI ZICHUNGUZWE
Na Sheikh Ponda Issa Ponda
IFIKAPO Januari 12, 2022, tutashuhudi watu wakisherehekea Mapinduzi yaliyofanywa visiwani Zanzibar mwaka 1964. Ni vizuri tujadili japo kwa ufupi tukio hilo.
Zanzibar ilifanya uchaguzi wa nne wa kidemokrasia (wa vyama vingi), Julai...
Shura ya Maimamu Tanzania
TAARIFA YA MASHEIKH WA GEREZA LA ARUSHA LEO 11.10.2021.
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania Sheikh Ponda Issa Ponda amefanya ziara leo kuwajua hali Masheikh waliopo katika Gereza Kuu la Arusha Kisongo.
Masheikh hao na waumini wao wapatao 61, walikamatwa mwaka...
Bismillahir Rahmanir Rahiim
JUMUIYA NA TAASISI ZA
KIISLAMU TANZANIA
Barua Pepe- jtkt.tz@gmail.com
S.L.B, 2055, Dar es Salaam
Kumb: JTKT/WKS/B1/21/F-SHR. 31. 08. 2021.
JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.
WAZIRI WA SHERIA NA MAMBO YA KATIBA
S.L.P. 315, DODOMA.
YAH: TAMKO LA UHALALI WA NDOA YA...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
TAMKO LETU KUFUATIA JESHI LA POLISI NCHINI KUWASHIKILIA VIONGOZI WA CHADEMA
Shura ya Maimamu Tanzania tumefuatilia kwa kina tukio la Jeshi la Polisi kuwakamata viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendrleo CHADEMA. Tumejiridhisha tukio hilo ni ukandamizaji wa...
Wakati mwingine mnapaswa muone aibu, hata mnyama kuna wakati anaweza kujizuia jambo baya kwa kuogopa macho ya watu.
Miaka 8 sasa Serikali ilikuwa inatafuta ushahidi, bado imeshindwa kithibitisha tuhuma dhidi ya Masheikh hao. Tungekuona wa maana sana kama ungepeleka ushahidi huo mapema ofisi ya...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
*WARAKA WA KUTOLEWA UAMSHO
TAREHE 19 JUNI 2021*
UTANGULIZI:
Suala la kukamatwa Masheikh maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho” (2013), na kuachiwa kwao huru (2021), ni tukio kubwa Tanzania. Kwa sababu kadhaa zikiwemo za ubinadamu, haki na nafasi ya Masheikh katika...
Bismillahir Rahmaanir Rahiim
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WENGINE 11, WAMETOKA ADHUHURI YA LEO 17.06.2021
Awamu ya mwisho ya Masheikh wa “Uamsho”wametoka gerezani leo.
Masheikh 6, kati ya waliobaki wamewasili Bandarini Unguja saa 12:30, jioni ya leo.
Aidha waliobaki wawili...
GAZETI LA SERIKALI “HABARILEO” HALIJUI KAMA MASHEIKH WAMEACHIWA HURU
Na Sheikh Ponda Issa Ponda
Takriban Magazeti yote makubwa ya leo habari kubwa ni tukio la kuachiwa huru Viongozi wakubwa wa Dini maarufu kwa jina la “Masheikh wa Uamsho”.
Kwa namna ya pekee gazeti la Serikali halina kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.