Recent content by ibrah0102

  1. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Napata mashaka mno na CHADEMA, wamelegeza msimamo wao?

    Kila mtu yupo huru kutoa maoni yake na ww umetimiza wajibu wako usilazimishe kilamtu kuwa na maoni kama yako
  2. ibrah0102

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nafikiria kuachana na mke wangu baada ya kunifumania

    Wanawake wengi hawapendi kutoa unyumba kwenye ndoa lakn michepuko unapewa kilasiku mpaka unachoka ww
  3. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

    Mbona ww unaanza matusi hali ya kuwa mtoa mada katumia lugha ya kistaarabu sana
  4. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Against All Odds, Vita vya USA/Israel na Iran Vitadumu Muda Mfupi na Utawala wa Kiayatollah Kufutiliwa mbali

    Hakuna kitabu hapo ni takataka hiyo tupa jalalani
  5. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Ayatollah Ali Khomeini auawa baada ya mashambulizi ya Israel na Marekani

    Sio kweli jamaa anakula futari mda huu
  6. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

    Mental illness
  7. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Live Rais Samia: Salaam za Mwaka Mpya

    Watakao msikiliza watupe Summary ya kile alichokisema
  8. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Je, Mafundisho haya ndiyo Mungu alimtuma Muhammad aje ayafundishe?

    Mkuu kwa Nini usibaki na kile unachokiamini
  9. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Ona unyama uliopitiliza wa rekodi ya dunia. Unatokwa na machozi

    Kiukweli kumnyima Mtu haki ya kutibiwa ni UKATIRI USIOVUMILIKA WALA KUSAMEHEKA aisee ni unyama wa aina gani huu waTz kutoa Uhai wa mtu Mahututi ambaye ilibidi kumsaidia kupambania Uhai wake Dah inauma sana
  10. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania KUNA UMUHIMU WOWOTE KWA RAIA KUWAPENDA AU KUWA HESHIMU JWTZ?

    Jeshi limeshakuwa la FisieM liko upande wa watawala
  11. ibrah0102

    JamiiForums Tanzania Landing Rights for satellite launching in Tanzania

    Kwani kipindi cha vita Israel na Iran zile video za Satellite zilikuwa na kibali chochote
Back
Top Bottom