Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

Kiboko ya Wachawi abadili dini na kuwa Muislamu

Kwahio wafuasi wake vipi? Wakristo mmezidi upole halafu sisi tukinyoosha rula mnasema dini ya makatili ila ukweli ni Kwamba mnamasikhara Sana na dini yenu uyu ndio mlikuanamuita Nabii na kumpa hela
Hapo nyie ndio mnakashifiwa sio sisi labda safari hii mtamshikisha adabu
 
Yaani ukigusa tu nyama yake umenasa, haijalishi wewe ni wa imani gani. Katika mataifa ya kiarabu inasemekana mbuzi bin katoliki nyama yake ndo yanaongoza kuliwa.
Huu ni uzushi japo kwenye baadhi ya nchi kama UAE(Dubai) yapo maduka maalumu kwa ajili ya kuuza hiyo nyama lakini wateja wake wakubwa ni wageni hasahasa wa jamii za kifilipino,Waafrika wachache wakristo na wachache wa kutoka ulaya ila sio waarabu na wala sio waislamu.
 
Sikupingi lakini ukweli ni kwamba ukimgusa huyu kiumbe hutamwacha abadan.
 
Back
Top Bottom