Nyumba inapangishwa iko Morogoro,kihonda magorofani karibu na St.Fransis seminary,Ina vyumba Vitatu,Master Moja na vyumba vingine viwili.Ina public toilet,kitchen na sitting room Pia Ina fance na Toilet nyingine ya inje in case una function yoyote,Pia kuna storage tank ya ujazo wa lita...