Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Ipo kihonda karibu na st.Fransis seminar Ina bedroom 3,Moja ni self,Maji,umeme Luku ya pekee yake ,Geti
 
Nilishakua mwenyeji wakuu moro mwez wa tano huu hapa town shida ni maji tu ila viwanja vya kupunguza stress hua naenda samaki na mo town , so far so good
 
Kilakala kuna nyumba ina vyumba vitano, nimehama juzi juzi tu, kodi laki 3
 
Mmmh uswazi tena mimi sitaki ishi uswazi aisee
Modeco sio uswazi mkuu. Ni njia kama unaenda mazimbu campus. Ni eneo zuri kushinda hata Kihonda mimi nilishawahi kuishi
 
Moyess mtafute yule jamaa alotafutiwa na dalali atakusaidia. Hapa naona msaada utakuwa finyu
 
haaaa huijuh moro wew sis tumezaliwa apo shida ya maji ipo ila ipo mitaa haina shida ya maji kabisa nikianza na mtaa nilipozaliwa kweli maji yanatok 24hrs kama id yangu... ahaaaa karibu moro town
Moro sehemu nzuri ambazo sio za kiswazi ni forest tu? Mi pia sipajui huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom