Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Natafuta chumba cha kupanga Morogoro

Nipeni codes jaman sitaki kuanza kukaa hotel nikifika nataka kupunguza gharama regarding na economic situation ya sasa
mkuu samahani una mwenyeji kabis...
 
lukobe na manyuki na kwa bwana jela uweke na akiba ya kununua maji kila uchwao leo...

Dah haya mambo cjui ya kununua maji ndio sitak kusikia mm nataka niishi standard life bila mateso
 
haaaa huijuh moro wew sis tumezaliwa apo shida ya maji ipo ila ipo mitaa haina shida ya maji kabisa nikianza na mtaa nilipozaliwa kweli maji yanatok 24hrs kama id yangu... ahaaaa karibu moro town
 
kwa mazingira hanayo yahitaji bwana moyyes andaa 150,000 per month ila kwa hali ya sasa ata 100 unapata na dalal naye chake juu kudadeki hawa watu sio powa nilishuhudia mpangaj akitoa 50 ya udalal hiv hiv haaaa
 
Hahaha mambo kama dsm hayo
 
Nasafiri na begi la nguo tu vitu vyote nitanunulia hapo hapo
ahaaa basi umejipanga mkuu mana ni pesa ndefu upate chumba na mazaga yote inawezekana kuchukua siku 2 ningekuwepo wala usingepata tabu ndug yangu ...nipo mkoa tatizo..
 
Pamoja mkuu kwa hints kadhaa za mji wenu
 
ahaaa basi umejipanga mkuu mana ni pesa ndefu upate chumba na mazaga yote inawezekana kuchukua siku 2 ningekuwepo wala usingepata tabu ndug yangu ...nipo mkoa tatizo..

kuna dalali maaruf hapa mjini asbh nitakutumia namba yake! mlevi lakini makini hatari! huyu unafika nakuingia tu!
 
mjini kidogo hakuna gharama ya nauli ila ukikaa haya maeneo jiandae na 800-1200 ya nauli + 1000 ya bodaboda haya maeneo chamwino,kihonda,lukobe,bigwa,mazimbu,makunganya,mkundi,,,,,.... tupo hapa kukupa mwanga na maeneo mazuli ya kukaa ambayo hata kipindi cha mvua utakaa kwa amani
 
yeah thts y na mm nimeona nimpe namba ya huyo dalali amtftie sehem za kijanjaro!
 
kuna dalali maaruf hapa mjini asbh nitakutumia namba yake! mlevi lakini makini hatari! huyu unafika nakuingia tu!
ahaaa mkuu mlevi tena haya ni pm namba yake tusaidie wageni..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom