Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Riwaya: Kikosi cha Kisasi

Tuko pamoja wakuu mniwie radhii majukumu mengi toka saa kumi za usiku tunapiga kelele tu na abiria huku trafick basi ukipumzika kidogo tu usingizi huoooooooo.ila nitakuwa najitahidi kuwaletea kadri nipatavyo mda.@iddy hope umefika mkuu ukiona kimya wape wadau kitu roho inapenda
pole sn kibajaji
 
Ukishusha mzigo mpya nitag aisee kibodaboda....!!!
 
2017-06-16 23.35.21.jpg
 
K
Mkuu naomba unielekeze nikanunue kesho
K/koo vipo vya kumwaga ubungo pia stend ya mabasi ya mkoa ndani pia vipo.posta tph pia vipo.k/koo zamani palipo kuwa na round about kuna maduka wanauza sana vifaa vya redio,laptop uyapata hapo kuna muuza magazeti kaweka na vitabu, kkoo kule kama shimoni pia utavipata,hapo kwenye msimbaxi kwenye club ya simba kuna muuza magazeti utavipata pia mkuu mi wewe tuu
 
Tuko pamoja wakuu mniwie radhii majukumu mengi toka saa kumi za usiku tunapiga kelele tu na abiria huku trafick basi ukipumzika kidogo tu usingizi huoooooooo.ila nitakuwa najitahidi kuwaletea kadri nipatavyo mda.@iddy hope umefika mkuu ukiona kimya wape wadau kitu roho inapenda
Tuko pa1 sana
 
K

K/koo vipo vya kumwaga ubungo pia stend ya mabasi ya mkoa ndani pia vipo.posta tph pia vipo.k/koo zamani palipo kuwa na round about kuna maduka wanauza sana vifaa vya redio,laptop uyapata hapo kuna muuza magazeti kaweka na vitabu, kkoo kule kama shimoni pia utavipata,hapo kwenye msimbaxi kwenye club ya simba kuna muuza magazeti utavipata pia mkuu mi wewe tuu
Mkuu hii kweli au???
Mbona sijawahi kuviona popote na vilikuwa havipatikani kabisaaa ........
 
Yaan utadhani Leo ndo nakisoma kwa Mara ya kwanza. Nimetekwa kabisa aisee. Big up kibajaji na mkuu iddy
 
Back
Top Bottom