Recent content by ibonyjr

  1. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Fahamu Aina za Kodi Zinazotozwa Pindi unapoingiza Gari Nchini

    Kwa style hii sjui kama ntamiliki gari
  2. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Ha tunnel inasumbua muda mwingi inahitaji ni add time

    Oy mwamba naomba nisaidie file la unlimited airtel
  3. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Unauziwa gari jipya ila halina matairi huo si ufala pro max kabisaa[emoji2][emoji3516]
  4. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Amps, Volts & Watts ni nini? Kwanini Simu Yako Haichaji?

    Barikiwa sana nimejifunza kitu kipya leo
  5. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurejesha namba za simu

    Poa
  6. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kurejesha namba za simu

    habari za muda huu wana jamvi hope mko poa, kama nlvotangulia kusema hapo juu naomba mnisaidie kupata ile link ya kurejesha contacts zilzopotea maana nimejitahidi sana kuusaka ule uzi humu lakini sikufanikiwa nikaona itakuwa vyema kama nitalisogeza kwenu
  7. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Msaada: Baba yangu mzazi ameuza nyumba yake na hataki kunipatia pesa japo kidogo

    Hammaga kijana wa 41yrs wewe upo kwenye kundi la wazee wastaafu
  8. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Tuambie Unamiliki Gari bila kusema direct kwamba Una gari

    Kwa mliopo dar wapi naweza pata power window ya v8
  9. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Waziri wa TAMISEMI na IGP

    Daah inauma sana hao ikibidi wasomewe dua mbaya wakaangamie huko
  10. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna Comedians bali tuna waropokaji tu. Comedians wa Kitanzania humwelewi kama hujui lugha anayotumia jukwaani

    Huwa nawaekewa sana comedians kutoka Kenya ndo wananmaliziaga mb zangu kule mjini yutubu
  11. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Chakula gani hujala muda mrefu?

    Mnyaturu og
  12. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Soma Hapa Kama Unataka Kuanzisha Au Kukuza Biashara Yako – Sehemu Ya Kwanza

    Tunasubir muendelezo wa makala yako mkuu
  13. ibonyjr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimempa hela jana tu, niko mbali umeme umeisha nimemwambia aweke anadai nitamlipa hela yake

    Piga chini huyo chuma ulete
  14. ibonyjr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo 20 ya kumuambia mpenzi wako Kila siku

    Ni kweli wanawake wanapenda kusifiwa ila nadhani kwao pesa ndo kitu cha muhimu zaidi
  15. ibonyjr

    JamiiForums Tanzania Ni mahali gani Dar nitapata Vyombo vya Kupikia kwa bei nafuu

    Karibu dar mzee
Back
Top Bottom