Recent content by ian

  1. I

    JamiiForums Tanzania Lowassa ni zaidi ya Rais, Vivuko vyote kutoa huduma bure

    Nenda kenya kaone mwenyewe pale likoni watuwanavuka free without any payment, sio watu pikipiki, mikokoteni ni free tozo ya magari ipo chini sana. Tujifunze kwa wezetu
  2. I

    JamiiForums Tanzania Mh. Samia atingisha Jimbo la Kibamba, Dar Es Salaam

    Nilikuwepo, wengi waliletwa na magari kutoka wilaya zote za dar es salaam, wakazi wa mbezi waliendelea na kazi zao kama kawaida
  3. I

    JamiiForums Tanzania Line ya Tigopesa na M-Pesa zinapatikana

    Yes nirushie namba yako nikupigie
  4. I

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa C.V ya Mwalimu Christopher Mwakasege

    nataka kujua kama mwalimu christopher anaamini katika katika ubatizo wa maji mengi au la
  5. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta bright torch lights kwa ajili ya shughuli za ulinzi

    Zipo dar bei 42000 kwa moja zinauwezo was kumulika Mita miamoja
  6. I

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Warioba mkuu
  7. I

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kidiplomasia kati ya Tanzania na Israel

    Kaka umenena, kuna umuhimu mkubwa tena wamaana sana, atayelilani taifa la Israel naye atalaniwa.
  8. I

    JamiiForums Tanzania Dream Team: Sitta, Magufuli, Mwakyembe na Urais wa 2015

    Kikwete pekee
  9. I

    JamiiForums Tanzania JK amewapata wapi 'WASAFI'?

    Wote watakao changuliwa hakuna msafi, kwani mtoto wa nyoka ni nyoka, wako wapi wafi wanatoka wapi
  10. I

    JamiiForums Tanzania Je, Mmiliki wa Lake Oil ni nani?

    Hata mie nasikia ni ya baba mwenye nyumba
  11. I

    JamiiForums Tanzania Eti hii nayo ni ambulance?8,000,000US$ wamezitumia kukarabati VIP lounge ya eapoti.

    Kama wiki mbili hivi vilipitishwa sio chini ya 200 sijui vilikuwa vinapelekwa wapi, tumeishiwa na viongozi, kwa watu wa rombo,au msoma kwetu vitapitika, \
  12. I

    JamiiForums Tanzania Tanzanian actor Steven Kanumba reported dead

    When we talk Grea,t no man on earth can deserve these word only GOD is Great
  13. I

    JamiiForums Tanzania MATOKEO kutoka vituo mbalimbali, Arumeru Mashariki

    Tuanze kusherekea?
  14. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 PICHA: Kampeni ya mwisho ya Dr. Slaa jijini Mbeya

    Freedom is coming tomorrow, Dr, Slaa you are the only on
  15. I

    JamiiForums Tanzania GE2010 Nguvu ya Dr.Slaa Mwanza kumpeleka Kikwete tena Mwanza?

    Mie na familia yangu nitakupa Kura CHADEMA
Back
Top Bottom