Eti hii nayo ni ambulance?8,000,000US$ wamezitumia kukarabati VIP lounge ya eapoti.

John W. Mlacha

JF-Expert Member
Oct 4, 2007
3,504
1,341
mani hii serikali inatufaa kweli? hii ni akili au maope? tuwe na utaratibu wa kunyonga viongozi wazembe
156258_391473647549900_100000618051693_1194919_1596155475_n.jpg
 
Kama si ambulance ni nini hiyo? ilikuwepo hiyo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa?

Halafu haijakarabatiwa VIP lounge, imejengwa mpya, wacha kudanganya umma.
 
Duh!
popo punguza hasira popo
Kaka sio hasira ial wewe mwenywee angalia eti watu wamekodisha ndege kwa miezi 47 ila hizo pesa za kukodishia unaweza kununua ndege mbili mpya za air bus. wewe kama mtu mwenye akili timamu utanunua ndege ama
 
Mimi sioni kama hawa watu wanastahili kuitwa viongozi, 'viongozi for what?????' hawa ni vilaza ndio maana maamuzi yao yamekuwa kilaza laza tu...sasa hii ni akili kweli karne hii kuwa na kitu kama hii ndio AMBULANCE! This is a big joke. Kikwete na jamaa zako tulipeni pesa yetu vinginevyo.......................
 
Kaka sio hasira ial wewe mwenywee angalia eti watu wamekodisha ndege kwa miezi 47 ila hizo pesa za kukodishia unaweza kununua ndege mbili mpya za air bus. wewe kama mtu mwenye akili timamu utanunua ndege ama

Akili ni kuzimake wakiwa waadilifu wakistaafu wanasota sana ndio maana inabidi kuwe na sheria ya kuwaangalia wanapostaafu yaani wahakikishiwe maisha baada ya utumishi wa umma
 
Kama si ambulance ni nini hiyo? ilikuwepo hiyo wakati wa Nyerere, Mwinyi, Mkapa?

Halafu haijakarabatiwa VIP lounge, imejengwa mpya, wacha kudanganya umma.
Umeijenga wewe bibie? Acha kusifi hata vitu visivyo na msingi. Kwa dhahabu yoote ile tuliyo nayo kweli hiyo ndiyo ambulance inayotufaa sisi? Mwambie Kikwete apunguze safari zisizo na tija labda tunaweza kununua ambulance yenye hadhi.
 
Kama wiki mbili hivi vilipitishwa sio chini ya 200 sijui vilikuwa vinapelekwa wapi, tumeishiwa na viongozi, kwa watu wa rombo,au msoma kwetu vitapitika,
\
 
Umeijenga wewe bibie? Acha kusifi hata vitu visivyo na msingi. Kwa dhahabu yoote ile tuliyo nayo kweli hiyo ndiyo ambulance inayotufaa sisi? Mwambie Kikwete apunguze safari zisizo na tija labda tunaweza kununua ambulance yenye hadhi.

Sister, dhahabu ilianza leo au jana? na almasi umesahau? zipo enzi na enzi, zilifanya nini? japo sasa tunaona ubunifu wa hizo ambulance ambazo zitaokoa maisha ya watu. Watu wlikufa hovyo wakati wa kuhamishiwa vijiji vya ujamaa, au umesahau?
 
Kaka sio hasira ial wewe mwenywee angalia eti watu wamekodisha ndege kwa miezi 47 ila hizo pesa za kukodishia unaweza kununua ndege mbili mpya za air bus. wewe kama mtu mwenye akili timamu utanunua ndege ama

True, hapo hamna akili ilyotumika zaidi ya masaburi.
The more you know katika nchi hii, the more anger you get. Kuna shida kubwa sana hapa.

on one hand nakubaliana na wewe kaka.
 
Halafu hii inabidi kuwe ma ambulance nyingine ina isindikiza kwani imekaa ki-ajali ajali.
 
kumbe hizo pesa 8,000,000 us doller zimeshatumika hapo VIP Lounge? kweli sukari imepanda bei hata mchele na petrol kumbe kuna mahali tunafidia
 
Back
Top Bottom