Huo umati unaosimuliwa hapa JF iwapo ni wa kweli basi si wa kushtua.Na JK hana sababu kurudi huko kuwapa kidomo domo washabiki wa dkt.Slaa.
Ikiwa ni umati mkubwa hakuna aliyeongoza kama prof.Lipumba siku ya urudishaji fomu hapa Dar.Jengine ni kuwa Mwanza pamoja na kuwa ina wapiga kura wengi lakini ni sehemu ndogo tu ya Tanzania.
Hata watu wakijitokeza namna gani tatizo la dkt.Slaa lipo pale pale kuwa ni mgombea nuksi kuliko hata Hashim Rungwe.Tunavyoelezwa ni kuwa baada ya kufika hapo Furahisha alisema:
" katika kufanya maamuzi magumu kuhusu kufuta kodi ya serikali katika vifaa vya ujenzi, hatatazama nchi za Afrika Mashariki, kama anavyotaka Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashriki, Dk. Diodurus Kamala kwa vile maamuzi atakayochukua ni kwa ajili ya maslahi ya Watanzania."
Kwa maana hiyo amekusudia kuvunja mafanikio yote yaliyofikiwa katika kuelekea umoja wa Afrika Mashariki.
Yaani hii picha ni ya kihistoria!
Kwa ratiba ya Tume Kikwete atakuwa Mkoani Mwanza lakini akianzia wilaya ya Geita kwa ijumaa na jumamosi, naendeleoa kufuatilia zaidi
Kwa mara ya kwanza baada ya miaka 20, huenda nitaye mpigia kura ya Urais akapita!!
PEPLESSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSSS POWERRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRRR.
Tarehe 31 October ni siku ya kupiga kura. Tusiache kwenda kupiga kura tukaanza kulalamika.