Natafuta bright torch lights kwa ajili ya shughuli za ulinzi

Natafuta bright torch lights kwa ajili ya shughuli za ulinzi

Joined
Sep 24, 2014
Posts
8
Reaction score
1
Habari wana jf..

Naomba kufahamu ni tochi za aina gani ambazo ni angavu sana ambazo naweza kutumia kwa shughuli za ulinzi usiku...

Iwe ni mwanza ama mkoa wowote ntajitahidi kuzitafuta..

Naombeni msaada wenjukwaa jukwaa
 
Tafuta mag light.......rechargeable......ukiwa Mwanza unaweza mulika Shinyanga na ukaona kila kitu kinachoendelea..........
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    9.2 KB · Views: 94
Zipo dar bei 42000 kwa moja zinauwezo was kumulika Mita miamoja
 
Tafuta mag light.......rechargeable......ukiwa Mwanza unaweza mulika Shinyanga na ukaona kila kitu kinachoendelea..........

Kiiiru, mbon safo Pree....

Hizo mavitu na mimi naweza kuzipata wapi aisee?
Zinauzwa pesa ngapi?
 
Kiiiru, mbon safo Pree....

Hizo mavitu na mimi naweza kuzipata wapi aisee?
Zinauzwa pesa ngapi?

Mbona mag lite zipo tu........we nenda duka la tochi bana utazikuta.......ungekuwa Yaeda huku ningekuagizia mahali zilipo..........
 
Mm nilinunua yangu inaitwa Elekta smart torch, pia ni rechargeable na bei ilikuwa ni elf 54, mm nilinunua kwenye maduka ya wanajeshi, nachojua zipo zenye uwezo tofauti
 
Back
Top Bottom