Recent content by hussein mlagwa

  1. H

    Askofu Gwajima ni Mtumishi wa Mungu wa kweli au? Asema Uongo. Adai yeye ni zaidi ya Rais

    Tofauti yao ipo juu ya yule wanayemuamini Ni ambayo mmoja ( unique), hakuzaa wala kuzaliwa,wala hana hata mmoja anayefanana naye.
  2. H

    Raia Tanzania: Mume wa Makamu wa Rais ni nani? Wa watangulizi wake wanajulikana

    Mumewe anaitwa Hafidh Ameir... fungua kwa Samia Suluhu kwenye Internet
  3. H

    Unaanzaje kumvua nguo mke wa mtu?

    uzinzi, uzinzi, uasherati, ngono, +ibada,maombi,kusoma Quran,Bible. Kuhudhuria misa,kwenda kuswali. kisha unajivuna au kuhamasisha watu wafanye zinaa! Yote haya ukiyajumlisha majibu ni ama Unafiki,ushirikina au ukafiri hatima yake ni kupata adhabu. Tujirekebishe,tuombe msamaha kwake Muumba.
  4. H

    Jina zuri la mtoto wa kike

    mwanamke shujaa mcha Mungu sana SUMAYYA
  5. H

    Sifurahishwi na michepuko yangu yote siku zao kufanana

    Tatizo ni hizo dawa za uzazi wa mpango,zimeharibu mpangilio wa siku. Ikanye nafsi yako na uzinzi! Ukute sisi tunaonyamaza tunakuzidi kwa mahitaji ya iyo kitu, lakini tunastahimili. Vinginevyo oa mke wa pili!!
  6. H

    Anadai ninamuumiza wakati wa Tendo

    Duh!Wanaadamu hamstuki? Mmo tu kukoleza uzinzi! Mungu anatuona na kila mmoja atalipwa kwa kadri alivyofanikisha.
  7. H

    Anadai ninamuumiza wakati wa Tendo

    Nilitamani sana kuzuia ushauri tatizo wewe na mwenzio mnazini! Uasherati (uzinzi) umeharamishwa na aliyetuumba
  8. H

    Kwanini wana-CCM wa Zanzibar sio mafisadi kama wana-CCM wa bara?

    Wajibu wa uaminifu, uaminifu,ukweli.... ni kwa kila Muislamu anayejitambua. Tanganyika nayo ilikuwa hivyo hivyo lakini wakachafuliwa kama inavyochafuliwa Zanzibar kwa sasa. Mara wanapelekwa watu zaidi ya elfu! Kisa wanasherehekea Pasaka!! Wakafanye yasiyofaa Wazanzibar wa copy!!
  9. H

    Nani wa kunisaidia siku za mateso yangu?

    Pole kijana,penye wengi pana mengi! Vumilia tu! Utapata maoni yenye maslahi inshaa Allah. MI nnafanya shughuli ya tiba!Nikuulize "Umewahi kutumia dawa za kujifukiza na kuchua?
  10. H

    Nimekosa mwanaume 'serious'

    Napenda nikufahamishe wewe na wengine,kwenye dhamira ya ndoa kina tofauti nyingi saana ya dhamira za wanandoa ; 1.Wapo Wana nia ya kupata burudani ya mwili na kupata ladha tu. 2.Kwa ajili ya kujifakharisha kwa ndugu na jamaa kwamba yy ameoa /olewa na mtu wa kisawasawa,mzuri sana,Ana pesa...nk...
  11. H

    Wizara ya ardhi kuanza kutoa hati miliki za ardhi ndani ya siku moja.

    kuna kauli moja aliizungumza kanisani kuhusu kutompa urais Maalim Seif ilikuwa inasemaje vile?
  12. H

    Leo Watanzania wengi walihudhuria kanisani kwa TB Joshua

    Shukrani sana Faiza. Basi ibakie ileile "Sikio la kufa halisikii dawa"
  13. H

    Leo Watanzania wengi walihudhuria kanisani kwa TB Joshua

    Ndugu zangu msishangazwe na watu kuamini Joshua ni Nabii! Ndio hao hao mpaka leo hawajamtambua vilivyo Yesu! Kuna wamwitao Mungu! Pia wapo wamwitao mwana wa Mungu! Kuna wasemao ni binadamu 100% na Mungu 100%,Kuna wasemao yu ndani ya Mungu na Mungu yu ndani yake! Hali ya kuwa huyo Nabii wa...
Back
Top Bottom