Wizara ya ardhi kuanza kutoa hati miliki za ardhi ndani ya siku moja.

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
20,388
24,947
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, inatarajia kuanza kutoa hati ya umiliki wa ardhi ndani ya siku moja katika kipindi cha miaka mitano ijayo, amesema Waziri wa Ardhi William Lukuvi.

Tupia neno la pongezi kwake.

Chanzo : ITV
 
Hayo ndo mabadiliko ya kweli TUNAYOYATAKA.
Waziri huyu hana USANII!
 
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, inatarajia kuanza kutoa hati ya umiliki wa ardhi ndani ya siku moja katika kipindi cha miaka mitano ijayo, amesema Waziri wa Ardhi William Lukuvi.

Tupia neno la pongezi kwake.

Chanzo : ITV
Kokote walipo, wafahamu wao ndio wahusika wakuu hata wale waliotaka kuwa na hati waliwakwamisha kwa vimitego vyao vya rushwa. Tutashukuru kama watakuwa wamebadilika
 
Back
Top Bottom