Recent content by Husna Muba

  1. Husna Muba

    Suleiman Jafo, Kanisa la Askofu Gwajima ni kero kwa wananchi waishio Mazizini Ukonga, Dar es Salaam

    Lakini adhana Ni muda mfupitu,Tena hata haizidi dakika 10 Sasa hao wanakesha kila siku
  2. Husna Muba

    Kitabu gani ambacho kimewahi kubadilisha maisha yako na unatamani wengine tukisome?

    Tatizo vitabu vingi Ni vya kiinglishi na sie wengine lugha haipandi
  3. Husna Muba

    Kwanini Diaspora wengi hawana watoto?

    Ubaguzi wa rangi pengine ndio sababu
  4. Husna Muba

    Mama Mkwe ana tabia ya kutusikiliza wakati tukifanya majambozi

    [emoji38][emoji38]ale kuku na yai et
  5. Husna Muba

    Mtambo Wa Mauti

    Nzuri sana
  6. Husna Muba

    Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

    Kaitupe baharini mtoni au chooni sio kumuachia mtu huo uchawi wako Lioneee
  7. Husna Muba

    Je, kuna uhusiano gani kati ya mtu mwenye busha na kujambisha

    Yapo Sana huku pwani huko bara huwezi kuyakuta
  8. Husna Muba

    Je, kuna vyakula au vitu ambavyo mtu akila vitaongeza uwezo wa kusikia hata kidogo?

    Mko poa madr wa jf Wapendwa mimi Nina mtu wangu wa karibu ana tatizo la usikivu yaani hasikii vizuri. Ni tatizo la muda mrefu Sana Sasa swali liko hapa Je Kuna vyakula au vitu ambavyo akila vitaongeza uwezo kusikia hata kidogo?!kwa mfano asieona vizuri anaambiwa atafune karoti kwa wingi...
  9. Husna Muba

    Bwana harusi afariki

    Loh! Jamani habari ya huzuni lkn unanichekesha Sasa
  10. Husna Muba

    Inawezekana hatujui ukweli kuhusu Suma Lee..

    Alirudi mjini kwa kishindooo.....Sasa sijui Yuko wapi Tena!!
  11. Husna Muba

    Bwana harusi afariki

    Kwahiyo unamfahamu?!
Back
Top Bottom