Je, kuna uhusiano gani kati ya mtu mwenye busha na kujambisha

Kuna soko moja pale tandale kuna kibao cha tangazo kuhusu masharti ya soko..

marufuku kujambisha ndani ya soko

Fine 50000/Tz shillings.


nilipoona lile tangazo nilicheka sn.
 
Habari zenu wadau,

For sometym nimekuwa naona watu wakijua mtu anabusha basi akikatiza mitaa ile wataanza kummock dat person in different ways including kujambisha (hopefully tunajua when i say dat)..

Sikuwahi kutake serious hadi leo nilipokuwa mitaa ya Mwenge stendi pale, kuna jamaa kumbe alikuwa anabusha na wale makonda na wapiga debe waligundua hilo, so wat was sad ni kwamba jamaa was about to board the bus ndo washikaji wakajambisha and the guy akaanguka and im not very sure bt i think alivunjika mkono.

So my question to JF doctors and other great thinkers, je kuna uhusiano gani kati ya mtu mwenye busha na kujambisha?
... almost 10 years swali hili halijajibiwa? Swali la kitabibu kabisa hili; kama ndivyo hili jukwaa (JF Doctor) lifutwe tu; halina maana.
 
Back
Top Bottom