Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Natafuta wa kumrithisha mikoba, kilinge

Uchawi uliaza tangu kuumbwa ulimwengu kiimani... Na asili yake ni Mola mwenyewe
Elimu zote zinatoka kwa Mola hili liko wazi.

Naongelea hapa ulimwenguni. Je kipindi cha Nuhu kulikuwa na uchawi au kipindi cha Adamu ?
 
Elimu zote zinatoka kwa Mola hili liko wazi.

Naongelea hapa ulimwenguni. Je kipindi cha Nuhu kulikuwa na uchawi au kipindi cha Adamu ?
Kati ya Nuhu na Adam nani alitangulia? Uchawi uliwatangulia wote hapa ulimwenguni
 
Ndugu wana JF huu si utani..! Niko serious..
Najiona kabisa nazeeka sasa na nguvu zinanipungua, hivyo nimekuwa na limited movements japo mahitaji bado yako juu
Nimeamua kutangaza kufafuta mrithi wa kazi zangu.
  • Mkoba mkuu mmoja
  • Mkoba wa kati
  • Mkoba mdogo
Hii mikoba yote iko Mkoa wa Pwani kilingeni Msata
Kilinge kila kila kitu cha uganga, ugaguzi, ulozi, ushirikina na kuwanga.. Kina vifaa vyote muhimu vya kale na vya kisasa kwa shughuli zote hizo..!

Ukubwa wa eneo ni miguu 50 kwa 40. Najiandaa kurudi kumtumikia mola wangu..infact nitakuwa na kituo changu cha huduma za kiroho zisizochangamana tena na shirki.

Niliwahi kuwagusia kuhusu hiki kituo kitakachojulikana kama MULT FAITH RESEARCH SOCIETY. Naona muda wa kuwa umekaribia kabisa!
Nitakuja kutoa aina ya mrithi nimtakaye!

Asanteni.
Niuzie mimi hicho kiwanja mkuu.
 
Kaitupe baharini mtoni au chooni sio kumuachia mtu huo uchawi wako

Lioneee
 
Kati ya Nuhu na Adam nani alitangulia? Uchawi uliwatangulia wote hapa ulimwenguni
Alianza Adamu,nimekuuliza hivyo sababu Historia imeshaandikwa.

Ulimwenguni Uchawi ulikuwepo lini kwa mara ya kwanza ? Unao ushahidi unao onyesha ya kuwa Uchawi uliwatangulia wawili hao ?
 
Alianza Adamu,nimekuuliza hivyo sababu Historia imeshaandikwa.

Ulimwenguni Uchawi ulikuwepo lini kwa mara ya kwanza ? Unao ushahidi unao onyesha ya kuwa Uchawi uliwatangulia wawili hao ?
Yeah kila kitu ukiwepo uchawi viliumbwa zile siku tano za kwanza za uumbaji
 
Back
Top Bottom