Idara ya Tamisemi embu mjitathimi kwanza, kuna majina yali leak mwezi wa September ya Uhamisho kwani watu hawajatolewa au kupewa Uhamisho kwa muda mrefu sana na mbaya zaidi inaonekana wengi mnataka rushwa na kujuana wakati barua za watumishi zimepitishwa kufuata utaratibu.
Inakuaje mnashindwa...
Asante sana kwa ushauri, ila nimejaribu kwenda mpaka Muhimbili hila mafanikio. Labda niendelee kuangalia kuwaona madaktari wengine na hospital nyingine hapa nchini.
Habari wadau, nina tatizo la tumbo linatoa mngurumo ni kwa muda mrefu sana. Nimekwenda hospital nyingi na kuonana na madaktari wengi pamoja na kutumia madawa mbalimbali lakini sikuweza kupata suluhisho la tatizo langu. Kila daktari alikuwa na mtazamo wake wapo waliohisi kuwa nina tatizo la...
Pia ningependa kuwahasa wananchi wa mkoa wa Mtwara na Lindi yaani kusini nzima kuwapuuza wabunge au watu wanaokuja kuomba kura kutoka CCM kwani itikadi na utekerezaji wao hakuna tofauti na kama mnahitaji kubadili kanda ya kusini. Mfano, Hivi punde pia nimesikia Nape Nahuye anakuja jimbo la Mtama...
m.facebook.com/TAJOA?refid=28&_ft_=qid.5910730000495572446%3Amf_story_key.-2878228964847103542
kuna baadhi vyombo vinareport hv, jamani hii nchi ipo wapi saiz na tunaenda wapi!?
m.facebook.com/TAJOA?refid=28&_ft_=qid.5910730000495572446%3Amf_story_key.-2878228964847103542
kuna baadhi vinareport hv, jamani hii nchi ipo wapi saiz na tunaenda wapi!?