huskryderz
Member
- Dec 23, 2011
- 27
- 27
Unapokutana na mwanamke anaongea au kushabikia kauli hii “Chunga sana akili yako mwanamke akikuchoka anakuwa adui" fahamu kuwa huyo kichwani hamna kitu na hafai tu kuwa mke sema Mungu amempatia nyama za kuishi nazo tu.