Recent content by howard

  1. howard

    JamiiForums Tanzania Mh. Kikwete mtikisiko mkubwa wa 4 nchini unakuja kama maagizo haya hayatafuatwa

    Hivi buberwa huyu sio yule wa dawa za meno kweli?sikumbuki jina la dawa zenyewe za kienyeji.
  2. howard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yamato band na skylight perfomance Leo

    Jamani nimesikia tangazo ila sikusikia wapi inafanyika Leo yamoto band na skylight band wanapiga show pamoja naomba aliyesikia Hilo tangazo inafanyika wapi please
  3. howard

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

    Jason is back, vitu hot
  4. howard

    JamiiForums Tanzania Mwigulu afuta Malipo ya Wajumbe Waliotoroka Bungeni, azuia Mabenki yasiwalipe!

    Hivi jamani bunge linakoma tar.25 April,mbona malipo mpk tar.30?
  5. howard

    JamiiForums Tanzania Huyu ndo wife material

    Kweli bana
  6. howard

    JamiiForums Tanzania Mama Maria Nyerere MUNGU akubariki sana.

    Umewaza mbali
  7. howard

    JamiiForums Tanzania Car Clearing Costs

    Ameuliza port charges jamani,mwambie agent akipata invoice ndio ukalipe.usimpe kwanza hiyo wanafanya calculations bandari wenyewe na ICD. Mara nyingi kwa TI ni 250,000 mpk 270,000
  8. howard

    JamiiForums Tanzania Toyota ist

    Milioni 6 IST hupati mjini hapa,budget ndogo utauziwa mbovu bure
  9. howard

    JamiiForums Tanzania mtu mwenye CPA anahitajika

    Jamani mtu mwenye CPA anahitajika experience ya hata 2 years yatosha kuwa chief accountant sehemu.mwenye interest please call me kwa maelezo.0655385400 pa kupeleka cv na ukaonane na nani
  10. howard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa yoyote anaijua toyota bravis....naitaji kuinunua naomba maoni au ushauri

    Zipo za cc 2490,very luxurious spare bei za kawaida,mafuta wasichakschue inachagua mafuta kwa ufupi.peleka petrol station za kueleweka.taa ya check engine inaweza kuwaka bure.
  11. howard

    JamiiForums Tanzania Picha: Viongozi wa vyama vya siasa wakutana na Rais Kikwete Ikulu leo; CCM ndani ya Nyumba

    Duh mbatia Ana hasira
  12. howard

    JamiiForums Tanzania Carina bei cheap!!

    beba fasta kabla hajabadili mawazo
  13. howard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania huyu mrembo nikweli nitampata?

    kimbia haraka muda sio mrefu unaibiwa achana nae ni wasanii hao.ni email zinatumwa kwa watu wengi sana,wizi mtupu
  14. howard

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Live Updates: Morocco Vs Tanzania leo, 8 June 2013 uwanja wa Stade de Marrakech

    Naangalia lvive hii game tushapigwa jamani 2 - 1 dakika za mwisho
Back
Top Bottom