ahsante mkuu.....ipi safi zaidi 1nz au 2
Acha Urongo hakuna ist yenye engine kubwa ya cc 1920 hyo engine itakaaje hizo labda ni gx 100 zina 1G ambazo cc 1990, kama hujui nyamaza, ni 1290 cc au cc 1490 kuna 1NZ AU 2NZ
Ninayo ist black color ina two weeks tangu imeingia nauza na ndo shughuli yangu
chukua 1nz, kama unatumia phone android nikurushie picha kwa whatsap
Naomba ufafanuzi kuhusu 1nz.....utaijuaje. Naomba picha utueke na hapa pia
Ninayo ist black color ina two weeks tangu imeingia nauza na ndo shughuli yangu
Tshs ngapi?
12m ina two weeks
12m ina two weeks
Mafuta kana kula we ulitaka kanywe supu
Ya mwaka gani na cc ngapi ndugu
Nadhani ni vizuri angepewa option ya kuagiaza na gharama zake, jee akiagiza mwenyewe hiyo ist itamugharimu kiasi gani hadi kutoa bandarini????
tumpe msaada kwa budgeti yake ya 6m anaweza agiza gari gani nadhani huo utakuwa msaada tosha kwake, wewe unauza bei gani hiyo yako????