Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Ufisadi wa 200 bilioni Ikulu

Status
Not open for further replies.
CHADEMA wanaweweseka sana

Mkuu naona wewe ndiyo unaweweseka..Hapa tunajadili Wizi wa 200Bl..Wewe unajadili CDM..

Unajifanya mzalendo kwa kutetea wezi??..Wenzako washapiga Pesa hapo..Wewe Lizaboni unapata ngapi kuwatetea?
 
Last edited by a moderator:
Huyo Albert Marwa ana undugu na Msafiri Wilbert Marwa aliyekuwa mwandishi wa hotuba msaidizi wa Rais kabla ya nafasi yake kuchukuliwa na Togolani Mavura Februari 8, mwaka huu na yeye kuhamishiwa Wizara ya Mambo ya Nje na kupangiwa kazi nyingine?
 
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.

Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.

Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.

Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.

Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.
SUALA LA WIZI WA FEDHA TSH200BILS NI HATARI KWA TAIFA YAPO MAMBO YA MSINGI KAMA IFUATAVYO:
1. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia
2. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia
3. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma
4. Singh Sethi alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU
5. Singh Sethi ametajwa kushirikinana Riziwan (Albert Marwa) ndungu wa familia ya JK na kusababisha wizi wa Tshs200Bls
6. Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serious Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.
7. Leo UKAWA wanapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe. Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake. Serious Fraud wapo hapa na kila kitu kinafahamika
8. Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.
9. Prof Muhongo na Lugora wanasema pesa Tshs200Bils sio za serikali ,Je pesa zisizokuwa za serikali zinawapa CCM kuiba??. Mbona Mbunge la UK walijadili pesa zetu na kuwataja akina Chenge hadi zikarejeshwa?? Huu ni upuuzi wa CCM na serikali yake

10. Kule Malawi watendaji wa Malawi wakiongozwa na Rais Joyce Banda waliiba Zaidi ya US$320 sawa na saidi ya Tshs 500bils wizi huo unaitwa CASHGACSANDAL na Ubalozi wa UK umesususia kutoa Misaada Malawi. Rais Mpya Peter Muthariaka ametangaza Kumushughurikia Kwanza Rais Banda na watu wake ndipo aangalie katiba.
Hapa Tanzania kuna wizi wa Escrow Scandal na Kikwete ameamua kuficha wizi huo na kufanya propaganda za msiba wa Mama Zitto kabwe(shida salumu) huku akijificha kwenye ugonjwa wa dengue na Ukawa!
CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
 
Huyo Mtawa ni kaka yake JK , mambo yote binafsi ya mkulu yeye ndiyo mratibu ikiwemo hata masuala ya waganga wa kienyeji.Huyo mzee anafanya kazi Ikulu lakini hata form 4 hajafika.
 
Mkuu naona wewe ndiyo unaweweseka..Hapa tunajadili Wizi wa 200Bl..Wewe unajadili CDM..

Unajifanya mzalendo kwa kutetea wezi??..Wenzako washapiga Pesa hapo..Wewe Lizaboni unapata ngapi kuwatetea?

naomba msaada wako katika hili, hizo bil200 ni za nani?
 
Mkuu kungekuwa kuna hiyo sheria me ningesaidia kuwafunga pingu

Wakati Hayati SESE SEKO KUKU WA ZABANGA enzi za uhai na utawala wake alipokuwa anafuja uatajiri wa ZAIRE (now DRC) na kuwabakiza wananchi wake katika kitu kinachoitwa ufukara wa kutupwa (abject poverty) hakufikiria hata siku moja kwamba angefia ukimbizini na kuzikwa kama mbwa. Vivyo hivyo MOMMUR GHADAFFI. Orodho ni ndefu. Historia ni Mwalimu Mkuu - I wish hawa Mahayawani yetu ya CCM yangekuwa yanamsikiliza kwa makini mwalimu huyu:shock:
 
Acha uzumbukuku, Escrow zilikuwa fedha za IPTL kutokana umeme tuliotumia, kwa hiyo ina maana Ikulu wameiibia IPTL au?

SUALA LA WIZI WA FEDHA TSH200BILS NI HATARI KWA TAIFA YAPO MAMBO YA MSINGI KAMA IFUATAVYO:
1. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia
2. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia
3. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma
4. Singh Sethi alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU
5. Singh Sethi ametajwa kushirikinana Riziwan (Albert Marwa) ndungu wa familia ya JK na kusababisha wizi wa Tshs200Bls
6. Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serious Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.
7. Leo UKAWA wanapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe. Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake. Serious Fraud wapo hapa na kila kitu kinafahamika
8. Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.
9. Prof Muhongo na Lugora wanasema pesa Tshs200Bils sio za serikali ,Je pesa zisizokuwa za serikali zinawapa CCM kuiba??. Mbona Mbunge la UK walijadili pesa zetu na kuwataja akina Chenge hadi zikarejeshwa?? Huu ni upuuzi wa CCM na serikali yake

10. Kule Malawi watendaji wa Malawi wakiongozwa na Rais Joyce Banda waliiba Zaidi ya US$320 sawa na saidi ya Tshs 500bils wizi huo unaitwa CASHGACSANDAL na Ubalozi wa UK umesususia kutoa Misaada Malawi. Rais Mpya Peter Muthariaka ametangaza Kumushughurikia Kwanza Rais Banda na watu wake ndipo aangalie katiba.
Hapa Tanzania kuna wizi wa Escrow Scandal na Kikwete ameamua kuficha wizi huo na kufanya propaganda za msiba wa Mama Zitto kabwe(shida salumu) huku akijificha kwenye ugonjwa wa dengue na Ukawa!
CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
 
Mtawa ni binamu yake Kikwete. Alimkimbia mkewe hospitali afrika ya kusini 2007 baada ya mkewe kugundulika ameathirika. Mkewe alifariki baadae huko huko afrika ya kusini huku mtawa akiwa amemtelekeza na kurudi dar-es-salaam. Tangia wakati huo amekuwa akitumia vibaya ukaribu wake na kikwete huku akiishi maisha ya ponda mali kifo chaja.

Mimi ni mtu wa karibu na familia ya mkewe.

Kweli mkuu unawafahamu hao , huyo mzee hata hela za EPA kwaajili ya kampeni ya JK na kulipia waganga wa Nigeria 2005 ilikuwa inapitia kwake.Huyu Mtawa ni kiungo muhimu sana kwa mkulu , halafu ana Ngoma kali sana yeye afya yake hata haitetereki lakini wanawake anaotembea nao hawachukui raundi.
 
Dammn it, n..............ot in my home TZ!!!!!!!!!@@@@@@@@@@

JB u better be sure...cos this is mother of them all.
 
..sasa mbona amekimbilia London ambako ndiyo kuna makao makuu ya SFO?

..najua IKULU wanakula RUSHWA, lakini hii habari yako naanza kuitilia mashaka.

SUALA LA WIZI WA FEDHA TSH200BILS NI HATARI KWA TAIFA YAPO MAMBO YA MSINGI KAMA IFUATAVYO:
1. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia
2. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia
3. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma
4. Singh Sethi alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU
5. Singh Sethi ametajwa kushirikinana Riziwan (Albert Marwa) ndungu wa familia ya JK na kusababisha wizi wa Tshs200Bls
6. Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serious Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.
7. Leo UKAWA wanapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe. Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake. Serious Fraud wapo hapa na kila kitu kinafahamika
8. Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.
9. Prof Muhongo na Lugora wanasema pesa Tshs200Bils sio za serikali ,Je pesa zisizokuwa za serikali zinawapa CCM kuiba??. Mbona Mbunge la UK walijadili pesa zetu na kuwataja akina Chenge hadi zikarejeshwa?? Huu ni upuuzi wa CCM na serikali yake

10. Kule Malawi watendaji wa Malawi wakiongozwa na Rais Joyce Banda waliiba Zaidi ya US$320 sawa na saidi ya Tshs 500bils wizi huo unaitwa CASHGACSANDAL na Ubalozi wa UK umesususia kutoa Misaada Malawi. Rais Mpya Peter Muthariaka ametangaza Kumushughurikia Kwanza Rais Banda na watu wake ndipo aangalie katiba.
Hapa Tanzania kuna wizi wa Escrow Scandal na Kikwete ameamua kuficha wizi huo na kufanya propaganda za msiba wa Mama Zitto kabwe(shida salumu) huku akijificha kwenye ugonjwa wa dengue na Ukawa!
CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
 
unavyofahamu wewe pesa hizo za escrow ni za nani?

SUALA LA WIZI WA FEDHA TSH200BILS NI HATARI KWA TAIFA YAPO MAMBO YA MSINGI KAMA IFUATAVYO:
1. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Kenya Kama raia wa Afrika Kusini mwenye asili ya Asia
2. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Afrika Kusini Kama raia wa Kenya mwenye asili ya Asia
3. Singh Sethi wa PAP amesajiliwa Tanzania Kama raia wa Tanazani Mzaliwa wa Ruvuma
4. Singh Sethi alishirikiana na Geodion Moi mtoto wa Rais Mio kwa wizi wa US$600million na kuangusha serikali ya KANU
5. Singh Sethi ametajwa kushirikinana Riziwan (Albert Marwa) ndungu wa familia ya JK na kusababisha wizi wa Tshs200Bls
6. Mwanamke Mbunge wa UK alipambana sana kwenye Bunge la UK wakati wa wizi wa fedha za Rada ulifanyika na BAYE na hatimaye fedha zikarudi Tanzania. Serious Fraud ilikuja hapa na kuwadaka akina Chenge na wizi ule lakini CCM ikawalinda.
7. Leo UKAWA wanapewa document ya ukweli juu ya Wizi wa akina Werema na wametoka nje kushinikiza akina Eliakimu Maswi wakamatwe. Ukweli ni kwamba Benki ya Standard Chater ya UK imetapeliwa zaidi ya Tsh1770bls na Singh Sett na wenzake. Serious Fraud wapo hapa na kila kitu kinafahamika
8. Kumufukuza balozi wa UK ni sawa na kumufukuza nzi badala ya kuondoa Kinyesi.
9. Prof Muhongo na Lugora wanasema pesa Tshs200Bils sio za serikali ,Je pesa zisizokuwa za serikali zinawapa CCM kuiba??. Mbona Mbunge la UK walijadili pesa zetu na kuwataja akina Chenge hadi zikarejeshwa?? Huu ni upuuzi wa CCM na serikali yake

10. Kule Malawi watendaji wa Malawi wakiongozwa na Rais Joyce Banda waliiba Zaidi ya US$320 sawa na saidi ya Tshs 500bils wizi huo unaitwa CASHGACSANDAL na Ubalozi wa UK umesususia kutoa Misaada Malawi. Rais Mpya Peter Muthariaka ametangaza Kumushughurikia Kwanza Rais Banda na watu wake ndipo aangalie katiba.
Hapa Tanzania kuna wizi wa Escrow Scandal na Kikwete ameamua kuficha wizi huo na kufanya propaganda za msiba wa Mama Zitto kabwe(shida salumu) huku akijificha kwenye ugonjwa wa dengue na Ukawa!
CCM na watawala wachague Kuwatetea Watuhumiwa kwa malengo ya kuangusha serikali nzima au kuwashughurikia watuhumiwa na kuokoa serikali
 
Yule kigogo alotajwa na olesendeka kwamba ni mtu mzito hapa ikulu ambae alichukua dola milioni 5 cash stanbick bank baada ya BOT kuzipeleka pesa za escrow kwenye akaunt ya PAP anaitwa Mtawa. Ambae ni msaidizi wa rais hapa Ikulu.

Lakini pia yule kigogo alotajwa kuwa alituma nje ya nchi dola laki2 mara 10 sawa na dola milioni 2, kisha standard chartered bank na hivyo kustukiwa na kitengo cha udhibiti wa fedha haramu ni Albert Marwa ambae ni mkwe wa JK.

Ameoa mtoto wa JK. Na kwamba bada ya kutafutwa kuhojiwa kuhusu fedha hizo alikimbilia Nje ya nchi inasemekana kwasasa yuko Uingereza.

Lakini pia baada ya Kafulila kulipua bungeni mara ya kwanza Mwenyekiti wa bodi ya TANESCO alionekana seacliff hotel na singasinga Sethi.

Walioshuhudia kikao hicho ni wahariri wawili wanaofuatilia kwa karibu sakata la Escrow mmoja akiwa anandikia jarida la Economic Intelligence.

[h=2]Msaidizi wa Rais Kikwete apelekwa Tume ya Maadili 'msobemsobe'[/h]
Wednesday, 13 April 2011 20:59

Raymond Kaminyoge
Mwananchi

MSAIDIZI wa Rais Jakaya Kikwete, katika masuala ya Siasa, Rajabu Luhwavi jana alikamatwa na polisi na kufikishwa mbele ya Baraza la Maadili ya Viongozi wa Umma baada ya kukaidi wito uliomtaka kuhudhuria kikao cha baraza hilo Jumatatu iliyopita.

Ilielezwa kwamba Aprili 11, mwaka huu, Luhwavi alitakiwa kufika kwenye Baraza hilo kueleza kwa nini hakujaza fomu kuonyesha mali zake katika kipindi cha mwaka 2009, lakini bila taarifa yoyote, hakufika.

Hatua hiyo ililifanya Baraza hilo chini ya Mwenyekiti wake, Jaji Mstaafu Damian Lubuva akisaidiana na wajumbe, Jaji Mstaafu Hamisi Msumi na Gidious Tibakweitira, lililazimika kutumia dola kumleta Luhwavi mbele yake.
Katika shauri hilo, Jaji Lubuva alimtaka Msaidizi huyo wa Rais, kueleza sababu zilizofanya ashindwe kufika mbele ya Baraza licha ya kuandikiwa barua na Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Katika utetezi wake, Luhwavi alisema hajawahi kupokea barua yoyote ya wito wa kufika mbele ya Baraza hilo: “Sikuwa na taarifa yoyote ya kuitwa mbele ya Baraza lako. Nimesikia kupitia vyombo vya habari kwamba natakiwa kukamatwa na polisi kufikishwa katika Baraza.”

Baada ya kutoa jibu hilo, msaidizi wa sekretarieti ya maadili, alionyesha 'dispatch book’ iliyoonyesha kwamba barua ya wito kwa Luhwavi ilisainiwa na ofisa wa Ikulu Machi 18, mwaka huu.

Hata hivyo, baada ya kuiangalia sahihi hiyo, Luhwavi alisema haikuwa yake wala ya katibu muhtasi wake... “Hii sahihi siifahamu. Siyo yangu wala katibu muhtasi wangu. Sielewi ni nani aliyesaini. Inawezekana walisaini walinzi wa getini, lakini kwangu, haikufika. Nimekula kiapo cha kuwa mwaminifu. Hii barua haikunifikia. Nafahamu umuhimu wa Baraza hili sikuwa na sababu ya kuacha kufika bila kutoa taarifa.”

Mmoja wa wanasheria wa sekretarieti hiyo alidai kwamba barua hiyo ilipelekwa Ikulu na Mwanasheria mwenzao, Hassani Mayunga na kusainiwa na Katibu Muhtasi wa Luhwavi.Jaji Lubuva alihoji iweje maofisa wenzake (Luhwavi) wa Ikulu wapate barua za wito lakini, yeye asipate?
“Hapa inatushangaza, Ikulu maofisa wengine wamefika mbele ya Baraza, ina maana walipata barua za wito lakini wewe peke yako ndiyo hukuipata?” alihoji Jaji Lubuva.

Alimtaka ofisa huyo kutorudia kitendo hicho akisema alitakiwa kuwa mfano kwa wengine kwa kuwa anatoka kwenye ofisi kubwa inayoheshimika.“Nisingependa jambo hili kurudiwa siku nyingine. Leo umeletwa na polisi, ukirudia siku nyingine, tutachukua hatua zaidi za kisheria,”alisema Jaji Lubuva.Baada ya maelekezo hayo, Jaji Lubuva aliahirisha shauri hilo hadi Jumatatu ijayo siku ambayo mtuhumiwa huyo atatakiwa kujitetea.

Mbali na Luhwavi, viongozi wengine waliofika mbele ya Baraza hilo jana ni Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Ndani Ikulu, Alhaji Hamadi Ntungwabona na Diwani wa Viti Maalumu, Halmashauri ya Wilaya ya Monduli, Dorah Kipuyo.

Pamoja na hao, pia yumo Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kisutu, Gabriel Mirumbe na Hakimu wa Mahakama ya Mwanzo ya Endasak-Kateshi, mkoani Manyara.

Akijibu tuhuma zinazomkabili, Ntungwabona alisema alijaza fomu na kuzituma katika Sekretarieti ya Tume ya Maadili lakini anashangaa kwamba hazikufika.“Hivi hata kama fomu zangu hazikufika! Kwa nini hamkunijulisha kuhusu hilo wakati Ikulu na ofisi zenu ni jirani?” alihoji. Madai yake hayo yaliwafanya wanasheria wa tume hiyo kumtaka aonyeshe uthibitisho. Hata hivyo, hakuwa nao. Shauri hilo sasa linasubiri uamuzi.

Kwa upande wake, Diwani Kipuyo alisema madiwani wote wa halmashauri hiyo walituma fomu zao kupitia kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo."Mkurugenzi Mtendaji ndiye aliyetuletea fomu madiwani wote na tulipozijaza tulizipeleka kwake. Nashangaa kuambiwa kwamba fomu zangu, hazikufika kwenu," alisema.

Baraza hilo leo linatarajiwa kuendelea kusikiliza mashauri ya viongozi kadhaa akiwamo Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Rwekaza Mukandala.Baada ya kumaliza kusikiliza mashauri hayo, Baraza hilo litatoa mapendekezo yake kwa Rais ambaye ndiye mwenye mamlaka ya mwisho ya kutoa adhabu.
 
Kama ni hivi na hazina yetu wapo Mwigulu Nchemba na Adam Malima naona kama nchi itakuwa bankrupt soon after next year election., Maana hawa jamaa sidhani kama watakuwa na huruma na Tanzania..
 
Huyo Mtawa ni kaka yake JK , mambo yote binafsi ya mkulu yeye ndiyo mratibu ikiwemo hata masuala ya waganga wa kienyeji.Huyo mzee anafanya kazi Ikulu lakini hata form 4 hajafika.

Ni Msaidizi wake toka ..akiwa Mbunge ..jk akiwa Hana kitu
 
AMEEEN!..na MUNGU aendelee kubariki kazi za mikono yenu; muendelee pia kuyaenzi aliyoyafanya baba yetu. Huu kwa kweli ni ushuhuda mzuri.

Kaka jamaa kaongea ukwel sana yan haya maisha tenda mema na utajenga heshima kwa uzazi wako wote yan ndo maisha yalivo ila ukifanya kama wakubwa wanavofanya,ndo hivo unamfanya mtoto wako anaanza kuteseka pindi wewe ukitoka madarakani
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom