Car Clearing Costs

Kiresua

JF-Expert Member
May 13, 2009
1,184
259
Wanajamii,

Wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba mwongozo wenu juu ya kupata gari. Nashukuru kwa mwongozo wenu nilipata gari niliyokuwa nimeitaka na iko njiani!

Kwa sasa nahitaji kujua costs involved at the port excluding/including TRA taxes, Nimewasilina na maclearing wawili na wamekuwa na opinion tofauti kuhusu port chages, it shocked me kuona hili hili kwani nilijua cost ziko fixed. Nikahisi nataka kuibiwa ila sikujua nana anaatemt na pia nikahisi wote hawajui au mmoja wao anajua procedures whingine hajui.

Sasa nimekuja hapa kupata mwongozowenu tena wanajamii! gari ni ya mwaka 1998 Carina 1.5l

PLEASE ASSIST

Asanteni tena.
 
Tatizo la nchi hii hata ununue bidhaa yoyote ambayo kila siku unaileta na inaletwa na wengine bado bei halisi ya kuilipia haijulikani, mifumo mibovu ya ulipaji kodi.

Hapa Tz kuna Ti mwaka kama wako nyingi mno lkn kila ambaye aliagiza ukimuuliza atakwambia bei tofauti tofauti aliyolipia.

Ni majanga subir ifike uuliwe, hapo ya mwaka 98 engine wanaambiwa kuna fain kwakua umepitiwa na mwaka ambao unatakiwa ulete gari yako 2002.

Cha ajabu zaid utakacho kutana nacho mzoefu wa kutowa magari pale bandarini anatowa kwa nusu ya gharama uyakayopewa ww ulieanza na Ki Ti kako kamoja.
 
hahaha kweli mkuu this sounds ridiculous to me!
 
...Nakushauri kwanza uingie kwenye Mtandao wa TRA upate idea ya KODI unayopashwa kulipa, na nini unatakiwa ufanye:

*The Import Regulation
Shipping Destination ports
Dar es salaam
*Age restriction
10 years old from the year of manufacture and not first registration.
*For this year cars manufactured from 2003 onwards
Older cars up to 30% of CIF value of damping fees is added to the duty.

==
*Road worthiness Inspection
EEA and JAAI inspection is required *(30% of CIF value fine will be charge if not)
===

Import taxes rates "Ya TRA YA MWAKA JANA ILIKUWA HIVI"
"TAX RATES (2012/2013)"

(C.C, Import Duty, Excise duty, Extra Depreciation Duty, VAT)
C.C 0-1000, Import Duty 25%, -%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 1001-2000, Import Duty 25%, 5%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 2001 and above, Import Duty 25%, 10%, Excise duty 20%, VAT20%

Pick ups, Import Duty 15%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Trucks (trucks for pulling semi-trailers), Import Duty, 0%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Buses (from 10 passengers), Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers, Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Tax calculator if applicable...
 
Wanajamii,

Wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba mwongozo wenu juu ya kupata gari,

nashukuru kwa mwongozo wenu nilipata gari niliyokuwa nimeitaka na iko njiani!

kwa sasa nahitaji kujua costs involved at the port excluding/including TRA taxes, Nimewasilina na maclearing wawili na wamekuwa na opinion tofauti kuhusu port chages, it shocked me kuona hili hili kwani nilijua cost ziko fixed! nikahisi nataka kuibiwa ila sikujua nana anaatemt na pia nikahisi wote hawajui au mmoja wao anajua procedures whingine hajui!

sasa nimekuja hapa kupata mwongozowenu tena wanajamii! gari ni ya mwaka 1998 Carina cc1.5l PLEASE ASSIST

asanteni tena

...kwenye "red" unatakiwa kulipa dumping cost %, kwenye "blue" unatakiwa kulipa kodi kufuatana na ukubwa engine ya gari "cc"...,

NB: Angalia "Registration Year / Month & seat belt year" (TRA WAKO MAKINI NA VITU HIVYO), Pia TRA kawaida wana tabia ya kukadria kufuatana aina ya gari..!
 
Wanajamii,

Wiki chache zilizopita nilikuja hapa kuomba mwongozo wenu juu ya kupata gari,

nashukuru kwa mwongozo wenu nilipata gari niliyokuwa nimeitaka na iko njiani!

kwa sasa nahitaji kujua costs involved at the port excluding/including TRA taxes, Nimewasilina na maclearing wawili na wamekuwa na opinion tofauti kuhusu port chages, it shocked me kuona hili hili kwani nilijua cost ziko fixed! nikahisi nataka kuibiwa ila sikujua nana anaatemt na pia nikahisi wote hawajui au mmoja wao anajua procedures whingine hajui!

sasa nimekuja hapa kupata mwongozowenu tena wanajamii! gari ni ya mwaka 1998 Carina 1.5l PLEASE ASSIST

asanteni tena

Embu ingia ktk website hii utapata kila kitu www.gariyangu.com siku njema
 
...Nakushauri kwanza uingie kwenye Mtandao wa TRA upate idea ya KODI unayopashwa kulipa, na nini unatakiwa ufanye:

*The Import Regulation
Shipping Destination ports
Dar es salaam
*Age restriction
10 years old from the year of manufacture and not first registration.
*For this year cars manufactured from 2003 onwards
Older cars up to 30% of CIF value of damping fees is added to the duty.

==
*Road worthiness Inspection
EEA and JAAI inspection is required *(30% of CIF value fine will be charge if not)
===

Import taxes rates "Ya TRA YA MWAKA JANA ILIKUWA HIVI"
"TAX RATES (2012/2013)"

(C.C, Import Duty, Excise duty, Extra Depreciation Duty, VAT)
C.C 0-1000, Import Duty 25%, -%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 1001-2000, Import Duty 25%, 5%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 2001 and above, Import Duty 25%, 10%, Excise duty 20%, VAT20%

Pick ups, Import Duty 15%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Trucks (trucks for pulling semi-trailers), Import Duty, 0%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Buses (from 10 passengers), Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers, Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Tax calculator if applicable...

Mkuu nashukuru kwa hii useful information, kiukweli sina tatizo kubwa na kodi ya TRA, nilishakadiria kutoka kwenya tax calc yao ya version 18 (the current one)

what about other charges like shipping line, import fees etc, kuna mwingine aliniambia "...i can recommend you an an argent whom you may not incure any port charges" alimaanisha port storage kama gari imekaa zaidi wa 7 days au realisticaly iko hivyo!

thanks
 
Ameuliza port charges jamani,mwambie agent akipata invoice ndio ukalipe.usimpe kwanza hiyo wanafanya calculations bandari wenyewe na ICD. Mara nyingi kwa TI ni 250,000 mpk 270,000
 
Jamanieee asnate mkuu kwa hili, itanisaidia..

do you have any clue regarding other charges yani mm nanataka chaji zingine tofoauti na Kodi

shipping line
port charges
Agency fees (range)
import fees (if any)
registration
plate no... asante sana
 
Tatizo la nchi hii hata ununue bidhaa yoyote ambayo kila siku unaileta na inaletwa na wengine bado bei halisi ya kuilipia haijulikani, mifumo mibovu ya ulipaji kodi.

Hapa Tz kuna Ti mwaka kama wako nyingi mno lkn kila ambaye aliagiza ukimuuliza atakwambia bei tofauti tofauti aliyolipia.

Ni majanga subir ifike uuliwe, hapo ya mwaka 98 engine wanaambiwa kuna fain kwakua umepitiwa na mwaka ambao unatakiwa ulete gari yako 2002.

Cha ajabu zaid utakacho kutana nacho mzoefu wa kutowa magari pale bandarini anatowa kwa nusu ya gharama uyakayopewa ww ulieanza na Ki Ti kako kamoja.

Unajua lazima mda mwingine kabla ya kulaumu ulitakiwa uulize, lakini pia siwezi kukulaumu wewe labda elimu ndogo inayotolewa kwa walipa kodi. Mkuu kwa kawaida lazima tofauti itatokea kwa watu wanaogiza gari kwa la aina moja kwa nyakati tofauti...Sababu zinaweza kuwa mbili, ya kwanza Ni exchange rates huwa zinabadilika kila wiki maana watu a TRA wanapata muongozo wa exchange rates kutoka BoT, hivyo ingawa tofauti inaweza kuwa sio kubwa lakini mabadiliko ya shilingi 10-50 Ni makubwa ambayo yanaweza kusababisha huo utofauti...pili unatakiwa ufahamu ile calculator ya TRA huwa Ina badilishwa kila baada ya miezi mitatu kutoka na retail selling price au bei za magari mapya yavyobadilika huko yanakozalishiwa so Ni lazima pia kutatokea mabadiliko ambayo yatasababisha kupungua au kuongezeka kwa kodi.
Hapo Mimi nimezungumzia kwa upande wa TRA tu mambo ya port siyajui
 
shipping line- It ranges from $80 to $90
port charges - Usd (7xcbm+0.3xcbm+0.016xCIF)
Agency fees (range)- it Ranges from Tzs 150,000 to Tzs 200,000
import fees (Nill)
registration- btn Tzs 330,000 to Tzs 450,000 depending on car type
plate no...ni btn Tzs 34,000 to 38,000.

Hope itakusaidia kidogo mkuu
 
Supa and thanks! I deed very useful
 
shipping line- It ranges from $80 to $90
port charges - Usd (7xcbm+0.3xcbm+0.016xCIF)
Agency fees (range)- it Ranges from Tzs 150,000 to Tzs 200,000
import fees (Nill)
registration- btn Tzs 330,000 to Tzs 450,000 depending on car type
plate no...ni btn Tzs 34,000 to 38,000.

Hope itakusaidia kidogo mkuu

Kwa gari lake la cc 1500 registration Ni shiling 320,000/ yenye mchanganuo ufuatao: motor vehicle registration fee 150,000/ , motor vehicle annual fee 150,000/, na fire inspection charge Ni tsh 20,000/
 
shipping line- It ranges from $80 to $90
port charges - Usd (7xcbm+0.3xcbm+0.016xCIF)
Agency fees (range)- it Ranges from Tzs 150,000 to Tzs 200,000
import fees (Nill)
registration- btn Tzs 330,000 to Tzs 450,000 depending on car type
plate no...ni btn Tzs 34,000 to 38,000.

Hope itakusaidia kidogo mkuu

Kwenye red Mkuu (how do we arive to this mkuu?)
 
Jamanieee asnate mkuu kwa hili, itanisaidia..

do you have any clue regarding other charges yani mm nanataka chaji zingine tofoauti na Kodi

shipping line
port charges
Agency fees (range)
import fees (if any)
registration
plate no... asante sana

Kiresua ukishalipa ushuru usajili upo tayari humo humo shipping line $90 port charges $200.agency fee btwn200-300 tshs plate no best ni masasi 39000 tshs. Zaidi ni pm.
 
...Nakushauri kwanza uingie kwenye Mtandao wa TRA upate idea ya KODI unayopashwa kulipa, na nini unatakiwa ufanye:

*The Import Regulation
Shipping Destination ports
Dar es salaam
*Age restriction
10 years old from the year of manufacture and not first registration.
*For this year cars manufactured from 2003 onwards
Older cars up to 30% of CIF value of damping fees is added to the duty.

==
*Road worthiness Inspection
EEA and JAAI inspection is required *(30% of CIF value fine will be charge if not)
===

Import taxes rates "Ya TRA YA MWAKA JANA ILIKUWA HIVI"
"TAX RATES (2012/2013)"

(C.C, Import Duty, Excise duty, Extra Depreciation Duty, VAT)
C.C 0-1000, Import Duty 25%, -%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 1001-2000, Import Duty 25%, 5%, Excise duty 20%, VAT20%

C.C 2001 and above, Import Duty 25%, 10%, Excise duty 20%, VAT20%

Pick ups, Import Duty 15%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Trucks (trucks for pulling semi-trailers), Import Duty, 0%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Buses (from 10 passengers), Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Land cruiser Hard tops carrying from 10 passengers, Import Duty, 25%, 0%, Excise duty 0%, VAT20%

Tax calculator if applicable...

VAT rate ya hapa Tanzania ni 18% iweje wa charge 20% ?? Nadhani hapo umekisea.
 
Kwenye red Mkuu (how do we arive to this mkuu?)

mkuu cbm ni cubic metres, so gari yako lazima itakuwa na cubic metres flan, so

*Handling charges ni Usd 7 times cubic metres of your car
*Wharfage ni 1.6% of CIF
*Corridor levy charges ni Usd 0.3 times cbm of your car

Then tafuta total ya hapo juu... Ndio port charges hizo za TPA tu lakini.

Incase gari yako itaenda ICD flan, basi cost zitaongezeka kidogo tu lakini- hesabu za huko ICD zina uhakika nazo, nikiconfirm naweza kukujuza baadaye kidogo.
 
VAT rate ya hapa Tanzania ni 18% iweje wa charge 20% ?? Nadhani hapo umekisea.

...mkuu "Itumbili" nadha hujasoma maelezo yangu vizuri hapo juu! kuwa; "Import taxes rates "Ya TRA YA MWAKA JANA ILIKUWA HIVI"
"TAX RATES (2012/2013
)"

"(C.C, Import Duty, Excise duty, Extra Depreciation Duty, VAT)
C.C"

"NIMETUMIA VAT RATE% YA MWAKA WA SERIKALI 2012/2013, KABLA YA PUNGUZO YA BAJETI YA MWAKA WA SERIKALI 2013/2014 AMBAYO INA ISHIA MWEZI JULY 2014"

"Kumbuka exchange rate
za BOT zinapanda kila siku"

*kwa hesabu za haraka haraka (assumptions) "bei uliyonunulia JP unazidisha mara mbili" mpaka gari inatembea barabara za Dar! Ndiyo kawaida ya budget plan yangu' mara nyingi ujikuta nina baki na salio ya fuel na service.
 
Back
Top Bottom