Recent content by hosh kosh

  1. hosh kosh

    Maandamano 26 Aprili: Uingereza yawataka raia wake kuchukua tahadhari

    alizaliwa usiku huyu ndo wanakuwaga wabishi kila kitu wanajua wao
  2. hosh kosh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    sawa ndug, shukran nataka nijaribu nipo dar, unadhan unanishaur wap naweza pata matibabu sahihi
  3. hosh kosh

    Wafanyabiashara wa mikoani mnaochukua vitu Kariakoo, njooni tujuzane machimbo ya bidhaa

    Chimbo la manga na tshirt napotokeaga mm ni opposite na mlango wa kuingia shimon ukiwa ple ukiuliza kwa waburushi wa plain tshirt wap watakuonesha tu.. cz wako kwa ndan ndan iv sio nje tu.. so sio rahisi kukuelekeza sana lkn fanya ivo.
  4. hosh kosh

    Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    mkuu vp kwa mtoto anaesumbuliwa na utokaji wa uchafu masikion.. ametumia dawa nying za asil lkn wap bdo linatoa uchafu huwa linasimama kwa siku kadhaa lkn saiv bdo linaendelea ttzo itakuwa nn mkuu pia huwa analalamika linamuwasha kwa ndan
  5. hosh kosh

    Baada ya kugundua ana mwanaume mwingine, nimemny'ang'anya vitu vyote nilivyomnunulia

    dawa ya moto ni moto tu.. moja wa washikaj kitambo kidogo alikuwa anahudumia mpenz wake ambae ni ke walikuwa wanapendana sana hasa ukizingatia jamaa alikuwa vizur kipesa lkn baadae akaja akayumba kiuchumi ple ofcn akatimuliwa, yule ke wake akaanza dharau na akaanza kutoka na mshikaji mwingn...
  6. hosh kosh

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    sawa mkuu ngoja nijaribu
  7. hosh kosh

    Changamoto za mfumo Mpya wa Manunuzi ya LUKU kwa Government Electronic Payment Gateways (Ge-PG)

    aise ni tabu.. inabid ifike mahal sasa tumjue mshaur wa huyu bwana mkubwa ktk masuala ya ya kiuchumi mana anatupoteza nakuturudisha nyuma mbal sana.
  8. hosh kosh

    Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    wadau mnisaidie app ya kuedit video kwa kueka text katk video
  9. hosh kosh

    Mkutano BAKWATA: PM Majaliwa awaomba viongozi wa dini kupigania amani

    bakwata waache kutumiaka.. hii taasisi cjui shida nn mbn wenzao hawana hiz taasisi ya answar
  10. hosh kosh

    Nyimbo za injili katika majumba ya starehe

    Wadau kwema, Kuna hili suala la wenzetu wa dini ya pili kwa maana Christians(wakristo) kuhusiana na nyimbo zao za kuabudu au kusifu kupigwa katika majumba ya statehe yenye kila aina ya uchafu mfano, jaribu kupita katika vilabu vya pombe vya mtaani(uswazi) utakutana nalo hili sana au ushakutana...
  11. hosh kosh

    Jacqueline amwandikia ujumbe mzito mume wake, Reginald Mengi

    watu wa lumumba bhn na mawazo yao
  12. hosh kosh

    Ushauri: Natamani kufanya mapenzi na mama mwenye nyumba wangu

    hatar sana mzee unanikumbusha mbal kidogo mi nishatia hao mama wenye nyumba hasa wa hilo jiji enz za maisha ya chuo chuo nilikuwa nakaa tmk nasoma mitaa karibun na jesh.. najua mshapajua.. kuna mmoja alikuwa ananizimia mwenyewe tu kwanza kila nililokuwa no ngea kwake yeye ni yes.. halal usiku...
  13. hosh kosh

    BAKWATA na Waislamu wengine, kila kitu kinachofanywa na Serikali kiko sawa kwenu?

    kawaguse ktk harakat zao au mambo yao din, misikikiti, quruan na nk uone km ni waoga au lah
  14. hosh kosh

    Morogoro: Mji wa watu goigoi

    mkuu nmekaa ple km 2weeks kilombero sijaona ubaya wake na nilichogundua kuna ela sana ukiacha morogoro mjin sehemu inayoingiza hela sana ya mapato ni ple kupitia biashara mzunguko wa hela uko juu sana..pia unaposem bila viwanda kungefanana vp.. viwanda ndo kila kitu huoni sasa hpo moro mjin...
Back
Top Bottom