Kwa ufupi mkuu ni kwamba; ni wavivu, tegemezi sana, wengi hutegemea kupata ridhiki kwa njia za mkato/dhurma nk...hawapendi kazi, wanaamini pesa za njia ya mkato ndio nzuri na tamu....kwahiyo hawawezi kukomaa kufanya kazi za uhalali ili wapate pesa halaliXXMkuu hiyo ni lugha ?
