hosh kosh
JF-Expert Member
- Mar 2, 2017
- 748
- 572
Wadau kwema,
Kuna hili suala la wenzetu wa dini ya pili kwa maana Christians(wakristo) kuhusiana na nyimbo zao za kuabudu au kusifu kupigwa katika majumba ya statehe yenye kila aina ya uchafu mfano, jaribu kupita katika vilabu vya pombe vya mtaani(uswazi) utakutana nalo hili sana au ushakutana nalo sana ili labda.
Sasa huwa najiuliza hivi hizo nyimbo za injili za kusifu zimeruhusiwa kupigwa mahala hapo au na kama si hivyo hawa viongozi wao wa kidini kwanini walikataza au kulikemea ili kupitia katikamikusanyiko yao ya kuabudu au ili jambo kwao ni halali kufanyika hivo.
Sijawahi ona mimi kwa sisi Waislam Qaswida zetu kupigwa mahala kama hapo japo niliwahi sikia Morogoro kuna kilabu kimoja kilijaribu kufanya ivo kueka qaswida katika jumba chafu ilo afu pembeni ya jumba hilo la starehe kuna packing ya magari ya mizigo walitoka vijana kazaa na kumfuta DJ nakumshushia kipigo kizito tena mpaka polisi kufika jamaa yupo hoi.
Sasa kwanini nanyi msifate misingi kama hii yetu haiwezekani watu wanafanya uchafu huku wakiburudika kwa nyimbo zenu za kuabudu au kusifu, je hili suala viongozi au waumini wa kawaida mmeshindwa kulizuia au ni vipi?
Tafadhali nimelizungumzia hili kwa uzuri na si kwa kukashifu dini nyingine.